Ngho
Senior Member
- Jun 2, 2015
- 121
- 189
Ni siku tangu Wallace Karia ametangazwa kama mgombea pekee ambaye amekidhi vigezo ili kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais wa TFF kwa Uchaguzi ujao, na imeelezwa kuwa hatopigiwa kura bali ATATHIBITISHA tu. Sina tatizo kama amekidhi vigezo au la!
Hoja yangu inaenda kwa waandishi wa habari na wadau wa michezo kwa ujumla ambao wamekaa kimya kama vile ni jambo la kawaida, WAANDISHI wapo kimya au wamenunuliwa?
Kwa sababu miezi ya karibuni wamekuwa WATU wa mbele kukememea au kuelezea mifumo ya kisasa kwenye mpira wetu, ila weledi pasipo na ushindani ni sawa na bure ila WANAHABARI wapo kimya.
Jambo kama hili lingekuwa la @yangasc au simbasc wasingekaa kimya kama WALIVYO SAIV kwa Karia au wanamuogopa? Au maslahi BINAFSI?