Uchaguzi 2020 Waangalizi wa Afrika Mashariki wamesema uchaguzi umefanyika kwa kufuata utaratibu

Wavhumia tumbo kayika ubora wao
 
Je hawakuona wagombea wakienguliwa na kuzuiwa kufanya kampeni? Je hawakuone jinsi wagombea wa vyama vingine walivyozuiwa kutumia media?
 
Ntibantunganya alikuwa Rais wa Burundi 1993 baada ya kifo cha Melkiory Ndadaye wa Burundi
Sylvestre Ntibantunganya si Mnyarwanda, Mnyarwanda mwenzie na mgombea wa CCM, unategemea nini kama sio kumuunga mkono mwenzake?
 
Niliwahi kusikia kuwa CCM ina matawi yenye wanachama kwenye nchi za ukanda wa East africa, nadhani hawa mbuzi ni makada wa kinyarwanda waliojificha nyuma ya mwamvuli wa uangalizi.
Tehe tehe tehe tehe tehe
 
Lipo wazi kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…