Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wanao fund al shabab ni Saudi Arabia, anaye bomb kuuwa na kutesa watu wasio na hatia Yemeni ambao > 98% ni Waislamu ni Saudi Arabia, Somalia na Yemeni wana one thing in common, mafuta, oil rich Arab Countries hawataki Somalia ichimbe mafuta yao kwa maana ni competitor wamemeamua ku destroy Somalia na Yemeni na hizi zote ni Islamic Countries hivyo kama ingekuwa ni swala la Dini Saudia asinge bomb Yemeni na kutesa Waislamu.
Hata huu Mkataba pia ni kutuzuia sisi na Uganda kunufaika na Mafuta ya kutoka Uganda ambapo yangesafirishiwa kupitia Bandari yetu ya Tanga, ni Vita ya kiuchumi, …
Hata huu Mkataba pia ni kutuzuia sisi na Uganda kunufaika na Mafuta ya kutoka Uganda ambapo yangesafirishiwa kupitia Bandari yetu ya Tanga, ni Vita ya kiuchumi, …