Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Wachezaji wengi wa kiarabu hawawezi kucheza league ya Uingereza, huyu karudi tu nyumbani. Refer to Mido, Hossam Hassan n.k
Hii timu pamoja na Girona ni miongoni mwa branch za matajiri wa Man city, kwa hiyo siyo kitu cha ajabu kusajili mchezaji kwa €3+M.Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO
Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Huddersfield Town ya Uingereza kwa dau la Dola milioni 5 (Bilioni 11.620 Tshs)
Mkataba wa mkopo wa Sobhi ndani ya klabu ya Al Ahly umefikia tamati.
Hii timu pamoja na Girona ni miongoni mwa branch za matajiri wa Man city, kwa hiyo siyo kitu cha ajabu kusajili mchezaji kwa €3+M.
Uwekezaji wa simba huu
Huyu si alikuwepo tulipocheza nao mwaka jana kwenye African champion club
€3m ni karibi bilion zaidi ya 7 za madafuUwekezaji wa simba huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah we jamaaHata Yanga wamesajili mchezaji kutoka Spain