Waarabu wa Kuwait wanaendeleza Utumwa

Hivi hujui hata hapa Tz kuna watoto wa kazi ktk mitandao wanatafutiwa kazi na madalali na picha zao ukitaka unatumiwa? Sioni cha ajabu sana hapo labda lugha mbaya iliyotumika eg maids for sale
 
Reactions: RTI
Kwa nini imekusikitisha? Unafikiri ukiuliza leo hii wangapi TZ wanapenda kwenda kuuzwa Kuwait kwa hiari, watakataa?
 
Mbona hii ni biashara ya mtandao ngono?na kila nchi inafanyika sema kwa kificho sana.
 
ubaya wa hivi vyombo vya habari vimejaa sana propaganda kwa hiyo siyo vya kuviamini sana.
 
Kwani Sadam Hussein alikuwa Rais wa wapi?!
 
Hivi hujui hata hapa Tz kuna watoto wa kazi ktk mitandao wanatafutiwa kazi na madalali na picha zao ukitaka unatumiwa? Sioni cha ajabu sana hapo labda lugha mbaya iliyotumika eg maids for sale
Wewe unasema maids, wenzako wanakwambia modern slavery ( utumwa mambo leo). Sikiliza vuzuri kideo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…