kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna muda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed.
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila hivyo tutatangaza kilio kwa club Afrika