Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia watafungwa na Yanga bora wazuie kama mwanzo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna muda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed.

Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila hivyo tutatangaza kilio kwa club Afrika
 
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna mda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila ivo tutatangaza kilio kwa club Afrika
Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka Ufaransa ligue 1....beki wao Nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia, bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina Kisinda? Ndoto za arinacha hizi
 
Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka ufaransa ligue 1....beki wao nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia , bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina kisinda ? Ndoto za arinacha hizi
Unajisikiaje kwa sasa kupitia hii comment yako!
 
Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka ufaransa ligue 1....beki wao nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia , bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina kisinda ? Ndoto za arinacha hizi
Huyu kipa alieshindwa kudaka mpira mwepesi wa Aziz ki ndo ana msingi mzuri?
 
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna mda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila ivo tutatangaza kilio kwa club Afrika
Hatimaye ndugu zako wamekufa kwao[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna mda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila ivo tutatangaza kilio kwa club Afrika
Kwisha unateseka ukiwa ukiwa wapi???
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hata nyie wenyewe hamjaamini kuwa mmeshinda..mpira umejigonga gonga watu wakajipiga mkafunga[emoji1787]
Jamaa una chuki ww. Mpira tangu unarushwa na Morrison kwenda kwa Aziz Ki, Farid, Sureboy anapiga ndefu Mayele anapiga header kumtengea Aziz Ki, kuna mtunisia yyte aliugusa?
 
Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka ufaransa ligue 1....beki wao nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia , bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina kisinda ? Ndoto za arinacha hizi
Huyu ndio yule ng'ombe wa Mayele
 
Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka Ufaransa ligue 1....beki wao Nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia, bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina Kisinda? Ndoto za arinacha hizi
Ikaja kuwaje boss wangu?
 
Back
Top Bottom