Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka Ufaransa ligue 1....beki wao Nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia, bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina Kisinda? Ndoto za arinacha hiziHawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna mda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila ivo tutatangaza kilio kwa club Afrika
Unajisikiaje kwa sasa kupitia hii comment yako!Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka ufaransa ligue 1....beki wao nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia , bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina kisinda ? Ndoto za arinacha hizi
Ka-paralyzeUnajisikiaje kwa sasa kupitia hii comment yako!
Huyu kipa alieshindwa kudaka mpira mwepesi wa Aziz ki ndo ana msingi mzuri?Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka ufaransa ligue 1....beki wao nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia , bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina kisinda ? Ndoto za arinacha hizi
Itakuwa hujacheza mpira ndiyo maana unaona mpira mwepesiHuyu kipa alieshindwa kudaka mpira mwepesi wa Aziz ki ndo ana msingi mzuri?
Hatimaye ndugu zako wamekufa kwao[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna mda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila ivo tutatangaza kilio kwa club Afrika
Kwisha unateseka ukiwa ukiwa wapi???Hawa Waarabu wakicheza mpira wa kushambulia kama walivyo cheza na kipanga watakufa mengi saana
Game plan ya kucheza na Yanga vizuri ni kuzuia tu na kufanya mashambulizi ya kushtukiza maana mabeki wa yanga kuna mda wanapandaga saana na ni wavivu saana kushuka na pia hawana speed
Ili kuwaweza yanga ni lazima nyuma uwe na mabeki sio chini ya 7 au 6 bila ivo tutatangaza kilio kwa club Afrika
[emoji23][emoji23][emoji23] hata nyie wenyewe hamjaamini kuwa mmeshinda..mpira umejigonga gonga watu wakajipiga mkafunga[emoji1787]Unajisikiaje kwa sasa kupitia hii comment yako!
Jamaa una chuki ww. Mpira tangu unarushwa na Morrison kwenda kwa Aziz Ki, Farid, Sureboy anapiga ndefu Mayele anapiga header kumtengea Aziz Ki, kuna mtunisia yyte aliugusa?[emoji23][emoji23][emoji23] hata nyie wenyewe hamjaamini kuwa mmeshinda..mpira umejigonga gonga watu wakajipiga mkafunga[emoji1787]
Morrison alikuwa kesha toka niniJamaa una chuki ww. Mpira tangu unarushwa na Morrison kwenda kwa Aziz Ki, Farid, Sureboy anapiga ndefu Mayele anapiga header kumtengea Aziz Ki, kuna mtunisia yyte aliugusa?
Alikuwemo. Baadae alitoka ndo akaingia Mwamnyeto kuja kulinda goli.Morrison alikuwa kesha toka nini
Huyu ndio yule ng'ombe wa MayeleWaarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka ufaransa ligue 1....beki wao nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia , bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina kisinda ? Ndoto za arinacha hizi
Ikaja kuwaje boss wangu?Waarabu tukianza Kwa kipa wao kapata msingi mzuri WA soka toka Ufaransa ligue 1....beki wao Nadir anakwenda Qatar na kikosi cha Tunisia, bado hujawataja wachezaji wengine hatari kwenye nafasi ya ushambuliaji ndo waje watolewe na wala mihogo kina Kisinda? Ndoto za arinacha hizi
Nyie bana mtuache tufurahi zetu kwa nafasi.[emoji23][emoji23][emoji23] hata nyie wenyewe hamjaamini kuwa mmeshinda..mpira umejigonga gonga watu wakajipiga mkafunga[emoji1787]
Kama ule mpira rahisi alioshindwa kudaka Manula mara 2 pale Taifa na kule AbidjanHuyu kipa alieshindwa kudaka mpira mwepesi wa Aziz ki ndo ana msingi mzuri?
Hapana Mimi natoa muhogo WA jangombe naona unautaka VP nikutimbie?Huyu ndio yule ng'ombe wa Mayele