Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

Waliminywa makende
 
Free thinking..wasitokee watu wakawa emotional
 
Sidhani,nachojua hao watumwa wote walipelekwa Marekani na America kusini,kwa waarabu hawakupelekwa kwani ni mwendo wa majangwa tu,hakukuwa na shughuli ya kufanya huko uarabuni.

Marekani na Amerika kusini kulikuwa na mashamba makubwa na hizo ndio zilikuwa shughuli zao zilizofanya wawe watumwa
 
Waarabu ni mabedui haswa wakivaa zile kanzu nzao nyeupe na vilemba ukiwaona kama watu vile kumbe ni maharamia hatari
Waarabu walianza kuja Tanganyika na kukaa karine nyingi baadae ndio wakaja Wajerumani

Nitajie Chifu Mmoja tu wa Tanganyika aliyenyingwa na Waarabu?

Maana ushahidi upo na historia ipo kuwa Machifu wote wa Tanganyika walinyongwa na Wajerumani
 
Hawakunyongwa ila walifanywa kuwa mazombi ndiyo maana Wajeruman walivyo kuja walikuta wazee wengi hasa maeneo walio kaa waraabu hamna kitu, wazee akili zao ni kuoa na kuhesabu shanga na kucheza bao tu hakuna elimu nyingine.
 
Hi comment imekuzidi uwezo tafuta comment za vilaza wenzako ndio uchangie

Pia mwambie huyo kilaza mwenzako kuwa Waarabu waliishi na Babu zetu Kwa upendo na amani

Ila walipokuja Wazungu Kwa sababu roho zao ni mbaya ndio wakapala mali za Babu zetu , aridhi ya Babu zetu na wakaona haitoshi pia wakawanyonga

Adam Sapi mkwawa
Kinjiketile Ngwale
Mangi Meli

Na wengine wengi tu
 
Waarabu ni makatili sana, walikua wanawatosa baharini, ni jamii yenye ukatili wa hatari na hata mtume wao Mohammad alisababisha mauaji ya kimbari kwa Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani.
zitto junior adriz MOTOCHINI
 
Kwahiyo haya ndio mnayofundishwa huko makanisani

Kama waarabu ni makatili nitajie Chifu Mmoja tu wa Tanganyika aliyenyongwa na waarabu

Maana historia inasema Machifu wetu wote walinyongwa na Wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…