Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

utah jazz

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,816
Reaction score
3,993
Rekodi za Nigeria, Ghana, Cameroon na Senegal zinaeleweka Kombe la Dunia huwa wanatufutia aibu.

Je, hawa Waarabu wanarekodi yoyote nzuri? Wakienda World Cup? Wameshawahi kuvuka hata makundi?

Kwa nini wamefanikiwa soka la Africa lakini wakivuka mpaka wa Bara wanakuwa kama timu za ndondo?
 
Waarabu wamenufaika na makao makuu ya cuf kuwepo egypt hujuma nyingi zinaanzia kule kwa soka la africa
Leo tukiwa sehemu tumejadili hii mada. Naikuta tena hapa.
Tukazungumzia Egypt inavyokuwa mdobwedo hata akikutana na nduguze Saud Arabia.
 
Wanatiaga aibu sana world cup hawa waarabu
 
alaf kwa nn ata wasingepambanishwa wenyew kwa wenyew ila wapunguze tim za kiarabu uko mf Misri vs Tunisia au Algeria vs Morocco alf game zao ukiondoa Misri wote wanamalizia nyumban kwao.
 
Watanzania katika ubora wetu, tunajadili in details ya wenzetu, je sisi tutafika huko lini?,Africon ya mwisho 1980 loooooo, Peter Tino,Juma Pondamali, T.Ally, M.Salim, etc etc no Jella Mtagwa (legend)hawa wa sasa chips na mayai, hii team ya 1980 walikua wanakula shima ya Unga wa ngano!
 
Wao ndio wanainflunce upangaji wa ratiba makao makuu ya shirikisho yapo misri wanajua sana kuchezesha
alaf kwa nn ata wasingepambanishwa wenyew kwa wenyew ila wapunguze tim za kiarabu uko mf Misri vs Tunisia au Algeria vs Morocco alf game zao ukiondoa Misri wote wanamalizia nyumban kwao.
 
Tunajadili ubovu wa waarabu world cup
 
Jadili mada hii,hapo utaleta mada ndani ya mada,au ndio ile unaulizwa causes wewe unaandika effects,utakula zero shekhee
 
Wakati huo nchi za Afrika hazikuwa na wachezaji wengi Ulaya ndio maana tuliwavimbia, issue sio matoborwa
 
Nani awe nyumbani mara nyingi wanaangalia rank za timu kabla. Hata Ulaya Portugal kachezea nyumbani,Italia kachezea nyumbani kwa kuangalia rank dhidi ya mpinzani. Watu weusi wazee wa kujiliza liza hata pasipohusika. Playing victim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…