Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

Wamefanikiwa kucheza round ya 16 mfano mzuri aligeria alicheza round ya 16 na Germany mwaka 2014 kwenye finali zilizofanyika Brazil mechi ikatamatika Kwa Germany kupata ushindi wa mbili moja kweny muda wa ziada afu acha maswali ya kibaguzi unavouliza warabu taja taifa huska Iran,Saudi Arabia, Oman ,wote ni warabu
 
Tunauliza waarabu wa africa achana na wale waarabu wengine wa middle east wale hata kupiga mpira hawawezi huwa wanaasili watu kutoka mataifa mengine hasa africa
Wamefanikiwa kucheza round ya 16 mfano mzuri aligeria alicheza round ya 16 na Germany mwaka 2014 kwenye finali zilizofanyika Brazil mechi ikatamatika Kwa Germany kupata ushindi wa mbili moja kweny muda wa ziada afu acha maswali ya kibaguzi unavouliza warabu taja taifa huska Iran,Saudi Arabia, Oman ,wote ni warabu
 
Ndio mfano mzuri huyo aligeria au wew Kwa akili Yako kucheza round of 16 kweny kombe la Dunia unazan ni kitu kidogo ngoja nikupe mfano mdogo Italy mwaka 2006 alikua bingwa wa Dunia ila kweny word cup ya 2010 akatokea hatua ya makundi ,Ghana mwaka 2010 alicheza hatua ya robo fainali mwaka 2014 akatokea hatua ya makundi, Germany mwaka 2014 alikua bingwa wa kombe la Dunia ila mwaka 2018 akatolewa hatua ya makundi
 
Umebadilisha hoja baada ya wadau kujibu hoja yako ya mwanzo juu ya "ubovu" wa waarabu.

Baada ya wadau kukujibu kwa data naona umebadili hoja..

Mfano

Cameroon kashiriki mara 7 kavuka mara moja tu makundi.

Algeria na Morocco wamevuka makundi mara mbili japo wameshiriki mara chache zaidi.

Wewe kwa upeo wako nani kati ya hao kafanya vizuri?
Cameroon aliyefika robo fainali
 
Waarabu wanamafanikio kuliko wa africa weusi kwenye mashindano ya kombe la dunia?

In general yes..!

Sababu 50% ya waarabu walioshiriki (Algeria na Morocco ) wamevuka makundi.

Wakati 44.4% ya wabantu walioshiriki ( Cameroon, Nigeria, Senegal na Ghana) wamevuka makundi.

Pia ni 50% ya waarabu walioshiriki (Algeria na Morocco) wamevuka makundi zaidi ya mara moja.

Wakati ni 22.22% ya wabantu walioshiriki (Nigeria na Ghana) waliowahi kuvuka makundi zaidi ya mara moja.
 
Tukubali kuwa waarabu ni mizigo wanaaibisha africa
Ndio mfano mzuri huyo aligeria au wew Kwa akili Yako kucheza round of 16 kweny kombe la Dunia unazan ni kitu kidogo ngoja nikupe mfano mdogo Italy mwaka 2006 alikua bingwa wa Dunia ila kweny word cup ya 2010 akatokea hatua ya makundi ,Ghana mwaka 2010 alicheza hatua ya robo fainali mwaka 2014 akatokea hatua ya makundi, Germany mwaka 2014 alikua bingwa wa kombe la Dunia ila mwaka 2018 akatolewa hatua ya makundi
 
Timu gani ya kiarabu imewahi kufika robo fainali?
In general yes..!

Sababu 50% ya waarabu walioshiriki (Algeria na Morocco ) wamevuka makundi.

Wakati 44.4% ya wabantu walioshiriki ( Cameroon, Nigeria, Senegal na Ghana) wamevuka makundi.
 
Timu gani ya kiarabu imewahi kufika robo fainali?

Hoja yako uliyoanzishia mada ilishapingwa kwa data.. Hapa naona unapuyanga tu..

Mafanikio hayapimwi kwa kigezo kimoja..

Pia tofautisha mafanikio na bahati.. Kama unashiriki mara 7 (Cameroon) then unavuka makundi mara moja pekee hiyo obviously ni BAHATI hata kama utafika fainali.
 
Timu gani ya kiarabu imewahi kucheza robo fainali world cup
Mafanikio hayapimwi kwa kigezo kimoja..

Pia tofautisha mafanikio na bahati.. Kama unashiriki mara 7 then unavuka makundi mara moja pekee hiyo obviously ni BAHATI hata kama utafika fainali.
 
Rekodi za Nigeria, Ghana,Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu

Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?

Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Nimeikumbuka Ghana ya kina Asamoah Gyan, Apiah, Agogo(RIP) ilituwakilisha hadi robo fainali kule bondeni kwa Madimba(2010)
 
Watanzania katika ubora wetu, tunajadili in details ya wenzetu, je sisi tutafika huko lini?,Africon ya mwisho 1980 loooooo, Peter Tino,Juma Pondamali, T.Ally, M.Salim, etc etc no Jella Mtagwa (legend)hawa wa sasa chips na mayai, hii team ya 1980 walikua wanakula shima ya Unga wa ngano!
We fala taifa stars mwisho ni misri
 
Back
Top Bottom