Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Tunisia?Waarabu hii world cup iko kwao..Wana local fans wanawashangilia na kuwaongeza nguvu ..usitegemee world cup ikifanyika ulaya watacheza "jihad" hivi.....hata Egypt au Algeria wangekuwepo pengine wangeenda mbali zaidi
Tofauti yetu na wao sisi tunaita wachezaji kwa kutoza pesa ila wao wanachagua wachezaji kwa kuangalia uwezo na juhudi, sisi mpaka mchezaji atoe pesa ndiyo aitwe achaguliwe timu ya Taifa, rejea kwa mbape baba yake aliombwa pesa na Chama cha mpira wa miguu cha Cameroon ili mtoto wake achaguliwe timu ya taifaWaarabu hii world cup iko kwao..Wana local fans wanawashangilia na kuwaongeza nguvu ..usitegemee world cup ikifanyika ulaya watacheza "jihad" hivi.....hata Egypt au Algeria wangekuwepo pengine wangeenda mbali zaidi
Kama uwezo mdogo Sana kama Qatar ..mashabiki hawasaidii..lakini uwezo ukiwepo kidogo hamasa inasaidia sanaTunisia?
Mfumo uliopo sasa hivi mbona ndio mzuri, hakuna timu kubebwa,Morocco imeingia semi final kwa jasho na damu, wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu, namna wanavyocheza unapata hamasa kuwapigania na kuwaombea kwa mungu wapeperushe bendera ya africa.
Wakat umefika sasa kwa sababu imeonekana akina Senegal, Cameroon na Ghana hawako serious, tuwapeleke sasa akina Egypt, Algeria na waraabu wengine wakatuwakilishe, ingawa Tunisia waliondolewa lkn sio kama Cameroon au Ghana, pumbavu kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu kama hicho. Tunisia pia amekua good hajafungwa thou ila hajafika huko. Mbona 2010 pale South Africa waafrika walikua tia maji tia maji kama kawaida.Waarabu hii world cup iko kwao..Wana local fans wanawashangilia na kuwaongeza nguvu ..usitegemee world cup ikifanyika ulaya watacheza "jihad" hivi.....hata Egypt au Algeria wangekuwepo pengine wangeenda mbali zaidi
Mimi tokea nimeanza tazama kombe la Dunia waarabu hawajawahi toboa makundi..since 98..huu mwaka Liko nyumbani ndio maana wamekaza..ni kama south Korea 2002...Mfumo uliopo sasa hivi mbona ndio mzuri, hakuna timu kubebwa,
Hao akina Senegal, Cameroon walizitoa timu za kiarabu ndio wakaenda, hawakupewa nafasi, walizitwaa
Halafu hakuna timu ya kiarabu iliyowahi kufika robo fainali kabla ya Morocco
Ni kweli. Koneksheni ndio tatizo. Nilikuwa nashangaa kwa nini kocha wa Ghana anawang'ang'ania Jordan na Andre Ayew waanze kucheza. Kwani hakukuwa vipaji vipya tangu kombe la Dunia lililopita!Tofauti yetu na wao sisi tunaita wachezaji kwa kutoza pesa ila wao wanachagua wachezaji kwa kuangalia uwezo na juhudi, sisi mpaka mchezaji atoe pesa ndiyo aitwe achaguliwe timu ya Taifa, rejea kwa mbape baba yake aliombwa pesa na Chama cha mpira wa miguu cha Cameroon ili mtoto wake achaguliwe timu ya taifa
Na pale South Afrika 2010 vepeMimi tokea nimeanza tazama kombe la Dunia waarabu hawajawahi toboa makundi..since 98..huu mwaka Liko nyumbani ndio maana wamekaza..ni kama south Korea 2002...
Ndiyo kanuni za kufuzu zinataka hivi, au umeamua kuja tu na mawazo yako?Morocco imeingia semi final kwa jasho na damu, wakicheza kwa nidhamu ya hali ya juu, namna wanavyocheza unapata hamasa kuwapigania na kuwaombea kwa mungu wapeperushe bendera ya africa.
Wakat umefika sasa kwa sababu imeonekana akina Senegal, Cameroon na Ghana hawako serious, tuwapeleke sasa akina Egypt, Algeria na waraabu wengine wakatuwakilishe, ingawa Tunisia waliondolewa lkn sio kama Cameroon au Ghana, pumbavu kabisa
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app