Waarabu wazidi kutamba Cafcl &Cafcc, Ni Yanga pekee amebaki kuwawakilisha Waafrika

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Mpira wa Afrika umetawaliwa na timu kutoka Afrika ya kaskazini au tunaweza kuwaita Waarabu.

Baada ya mamelody kuondoshwa mashindanoni na Waarabu wa Wydad,
Sasa ni wazi kuwa kwa sisi waafrika halisi yaani ngozi nyeusi ni timu Moja tu imebakia kutuwakilisha kwenye fainali ya CAFCC ambayo ni Young Africans

Hongera sana Machampions wa makombe yote nchini [emoji1241] Kwa kutuwakilisha vema waafrika halisi huko CAF
 
Watu walikuwa wanapiga kelele humu kuhusu MAMELOD, yani kisa Wydad alisumbuliwa na Simba Sc basi eti akawa ni mbovu[emoji23]. Watu wanashindwa kuelewa CAFCL ni heavy weoght competitions.

Mamelod nae ni mbovu sasa, tukubaliane hapa.

Hata huku CAFCC ni vyema watu wakafurahi wakati ambao nafasi bado wanayo, kwasababu ni HAKIKA kuwa kombe haliwezi kuja Tz.
 
Mkuu umetumia kigezo gani ku concluded kombe haliwezi kuja nchini? Hebu nipe sababu hata mbili tu
 

Shabiki moja lenye maumivu makali..lilisikika likitoa msoni yake. Kama ambavyo unazani haliwezi kuja tz inawezekana pia haliwezi kwenda huko unakotaka liende
 
Mkuu umetumia kigezo gani ku concluded kombe haliwezi kuja nchini? Hebu nipe sababu hata mbili tu
Makolokolo huyo, kwa JF wapo baadhi tu wenye akili mfano ni Scars na The Greatest of all time, ila wengine wana umbumbumbu mwingi sana.

Hapo hasira alizihamishia kwa Mamelody Sundowns ifungwe ili ionekane Simba FC ilikutana na timu ngumu sana bila ya kujua hata Kocha wa sasa wa Widad Casablanca ni mwingine na ana;

* Formations.

* Philosophies.

* Tactics.

* Techniques.

* Attitudes.

* Winning mentalities zingine kabisa [emoji847]

Simba bado ni wabovu tu, hata kama ataendelea kukaza fuvu [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Morocco ni Wahispania waislam
Misri ni wagiriki waislam...
Hakuna waarabu Africa
Religion is actually an opium in Africa that has led Africans to be Stupids by disgusting their own nature among themselves, still the religion beginners proceed to be surprised of such mental slavery and call African people "chimpanzee" by being in that prison since the world creation by the Sir God [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…