mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Mpira wa Afrika umetawaliwa na timu kutoka Afrika ya kaskazini au tunaweza kuwaita Waarabu.
Baada ya mamelody kuondoshwa mashindanoni na Waarabu wa Wydad,
Sasa ni wazi kuwa kwa sisi waafrika halisi yaani ngozi nyeusi ni timu Moja tu imebakia kutuwakilisha kwenye fainali ya CAFCC ambayo ni Young Africans
Hongera sana Machampions wa makombe yote nchini [emoji1241] Kwa kutuwakilisha vema waafrika halisi huko CAF