Waarabu wazidi kutamba Cafcl &Cafcc, Ni Yanga pekee amebaki kuwawakilisha Waafrika

Nikwel asee ukimwangalia ashraf hakim nakina ramos niwalewale yan ile Morocco na spain niwamoja
 
Nitakujibu kwa kirefu tukishamaliza fainali, sasa hivi niko bize na mambo ya fainali.
 
Yanga ndio timu kutoka nchi ya waafrica weusi pekee iliyobaki
Tukija kwenye vigezo vya UARABU, bado mashindano aliyoshiriki Yanga, ni laini. Robo fainali, waliingia WEUSI wanne! YANGA, ASEC, RIVER na MARUMO. Na WAARABU wanne. Na nusu fainali, bado wakaingia watatu. YANGA, MARUMO na ASEC. Lakini kule klabu bingwa, waliingia WEUSI wawili tu, na WAARABU sita. Weusi walikuwa ni Mamelod na Simba tu!

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kwa hii elimu.
 
Naomba nitag na mm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…