SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Vipi kuhusu Algeria na Tunisia mkuu?Morocco ni Wahispania waislam
Misri ni wagiriki waislam...
Hakuna waarabu Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu Algeria na Tunisia mkuu?Morocco ni Wahispania waislam
Misri ni wagiriki waislam...
Hakuna waarabu Africa
Tunisia na Italy same same ..Vipi kuhusu Algeria na Tunisia mkuu?
Nikwel asee ukimwangalia ashraf hakim nakina ramos niwalewale yan ile Morocco na spain niwamojaMzungu yupi?mhisipaniola na Mmoroco Wana tofauti au unamaanisha wale wazungu continental??
Kwanza unawajua wazungu??
Wazungu ni wajerumani,wafaransa..scandinavia na Russia...hao ndo wazungu...
Wataliano,wagiriki, wahispania,wareno na wote ukanda wa meditaranean wale hawana tofauti yeyote na wamisri, wamorocco,watunisia,wa algeria..waturuki nk.....wale ni same people...fanya research weka Tu picha ya Xavi na Salah niambie Wana tofautiana nini?
Nitakujibu kwa kirefu tukishamaliza fainali, sasa hivi niko bize na mambo ya fainali.Mpira wa Afrika umetawaliwa na timu kutoka Afrika ya kaskazini au tunaweza kuwaita Waarabu.
Baada ya mamelody kuondoshwa mashindanoni na Waarabu wa Wydad,
Sasa ni wazi kuwa kwa sisi waafrika halisi yaani ngozi nyeusi ni timu Moja tu imebakia kutuwakilisha kwenye fainali ya CAFCC ambayo ni Young Africans
Hongera sana Machampions wa makombe yote nchini [emoji1241] Kwa kutuwakilisha vema waafrika halisi huko CAF
View attachment 2628974
Tukija kwenye vigezo vya UARABU, bado mashindano aliyoshiriki Yanga, ni laini. Robo fainali, waliingia WEUSI wanne! YANGA, ASEC, RIVER na MARUMO. Na WAARABU wanne. Na nusu fainali, bado wakaingia watatu. YANGA, MARUMO na ASEC. Lakini kule klabu bingwa, waliingia WEUSI wawili tu, na WAARABU sita. Weusi walikuwa ni Mamelod na Simba tu!Yanga ndio timu kutoka nchi ya waafrica weusi pekee iliyobaki
Asante sana kwa hii elimu.Wazungu ndo Wana classify watu ..
Hawa waarabu...hawa waafrika
Watu waliofanya research wanapinga kabisa classification za wazungu with evidence...
Cha kwanza we jiulize why wasudan wanaitwa waarabu? Utagundua ni lugha na dini tu...the rest ni weusi na waafrika hawana tofauti yeyote na watanzania au waganda except few ambao wamechanganya rangi na hao weupe...
So swali je watu weupe wa Egypt ya Leo walitokea wapi?...Wengi walitokea Ugiriki na Macedonia....so waitwe waarabu? utagundua ni dini na lugha ya kiarabu vilivyo tawala hapo wakati wa Ottoman empire...baasi...
Ottoman empire pia walitawala huko Morroco na Sehemu kubwa ya Spain...
Hata ukiwaangalia Tu Kwa macho Salah na Xavi ..na wengineineo utagundua ni same people... tofauti ni dini na lugha...somo ni refu Sana ..kuna nyuzi tumebushana Sana hizi fraud za wazungu....hata Europe sio Continent...zipo nyuzi hapa ntaku tag
Hili nalo neno.....Tunis na Algeria ni wafaransa.....waislam ndio maana waarabu wanawabagua hawa ?Morocco ni Wahispania waislam
Misri ni wagiriki waislam...
Hakuna waarabu Africa
Tunisia na Italy same same ..
Algeria na nchi kama croatia, Italy same people....
Naomba nitag na mm mkuuWazungu ndo Wana classify watu ..