Waarabu wazidi kutamba Cafcl &Cafcc, Ni Yanga pekee amebaki kuwawakilisha Waafrika

Waarabu wazidi kutamba Cafcl &Cafcc, Ni Yanga pekee amebaki kuwawakilisha Waafrika

Morocco ni Wahispania waislam
Misri ni wagiriki waislam...
Hakuna waarabu Africa
Una ushahidi? Yaani unawaita Wagiriki na wahispania wakati hawafanani na wazungu kasoro rangi tu
 
Unaweza ukanipa elimu hapa, wahispania na wagiriki kivipi

Wazungu ndo Wana classify watu ..
Hawa waarabu...hawa waafrika
Watu waliofanya research wanapinga kabisa classification za wazungu with evidence...
Cha kwanza we jiulize why wasudan wanaitwa waarabu? Utagundua ni lugha na dini tu...the rest ni weusi na waafrika hawana tofauti yeyote na watanzania au waganda except few ambao wamechanganya rangi na hao weupe...
So swali je watu weupe wa Egypt ya Leo walitokea wapi?...Wengi walitokea Ugiriki na Macedonia....so waitwe waarabu? utagundua ni dini na lugha ya kiarabu vilivyo tawala hapo wakati wa Ottoman empire...baasi...
Ottoman empire pia walitawala huko Morroco na Sehemu kubwa ya Spain...
Hata ukiwaangalia Tu Kwa macho Salah na Xavi ..na wengineineo utagundua ni same people... tofauti ni dini na lugha...somo ni refu Sana ..kuna nyuzi tumebushana Sana hizi fraud za wazungu....hata Europe sio Continent...zipo nyuzi hapa ntaku tag
 
Shabiki moja lenye maumivu makali..lilisikika likitoa msoni yake. Kama ambavyo unazani haliwezi kuja tz inawezekana pia haliwezi kwenda huko unakotaka liende

Ili nisionekane kuwa nina maumivu ni lazima niseme unachofikiria wewe? Malezi Malezi Malezi, ni shida kubwa sana hapa Tz.
 
Asili, ukimcheki mzungu na muarabu wa kutoka Afrika, wako tofauti.
Mzungu yupi?mhisipaniola na Mmoroco Wana tofauti au unamaanisha wale wazungu continental??
Kwanza unawajua wazungu??
Wazungu ni wajerumani,wafaransa..scandinavia na Russia...hao ndo wazungu...

Wataliano,wagiriki, wahispania,wareno na wote ukanda wa meditaranean wale hawana tofauti yeyote na wamisri, wamorocco,watunisia,wa algeria..waturuki nk.....wale ni same people...fanya research weka Tu picha ya Xavi na Salah niambie Wana tofautiana nini?
 
Watunisia na Algeria ndo Kama wazungu kabisa
 
Aliyekuwa kocha wetu kipenzi wa timu yetu ya Simba ?=. Dylan Kerr ameishusha daraja timu yake ya Marumo!

Angeendelea kuwa kocha wetu sijui tugekuwa daraja la ngapi
 
Watu walikuwa wanapiga kelele humu kuhusu MAMELOD, yani kisa Wydad alisumbuliwa na Simba Sc basi eti akawa ni mbovu[emoji23]. Watu wanashindwa kuelewa CAFCL ni heavy weoght competitions.

Mamelod nae ni mbovu sasa, tukubaliane hapa.

Hata huku CAFCC ni vyema watu wakafurahi wakati ambao nafasi bado wanayo, kwasababu ni HAKIKA kuwa kombe haliwezi kuja Tz.
Haya futa machozi sasa!
 
Back
Top Bottom