FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #21
Sawa Mkuu!Team Putin hapa
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mkuu!Team Putin hapa
Nalog off
Team Putin hapa
Nalog off
Nini kilitokea na kupelekea Wacrimea kujiunga na Russia?Russian President, Vladimir Putinstated
Kwa sababu hotuba ya Rais Putin ni ndefu kidogo ngoja nikuchomolee maelezo kadhaa kwenye hotuba yake inayoonyesha kuwa hakuna sheria ya kimataifa iliyovunjwa wakati wa kuungana kati ya Crimea na Russia. Kwa maneno mengine hakuna kuchukuliwa kwa nguvu kulikotokea.Sawa Mkuu!
Umekwenda Mbali Sana Ndugu. Jaribu Kufuatilia Process Nzima Ilivyoenda Kabla Ya Hayo Makubaliano Kufanyika.Nini kilitokea na kupelekea Wacrimea kujiunga na Russia?
Soma hotuba ya Rais Putin aliyoitoa baada ya Crimea kwa (h)iyari yao kuamua kujiunga na Russia baada ya mchakato wa kura kufanyika na asilimia zaidi 96 wa Crimea kukubaliana kujiunga na Russia.
Karibu.
======
Address by President of the Russian Federation on the reunification of the Republic of Crimea and the city of Sevastopol with Russia (2014)------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
by Vladimir Putin
PRESIDENT OF RUSSIA VLADIMIR PUTIN:
Federation Council members, State Duma deputies, good afternoon. Representatives of the Republic of Crimea and Sevastopol are here among us, citizens of Russia, residents of Crimea and Sevastopol!
Dear friends, we have gathered here today in connection with an issue that is of vital, historic significance to all of us. A referendum was held in Crimea on March 16 in full compliance with democratic procedures and international norms.
More than 82 percent of the electorate took part in the vote. Over 96 percent of them spoke out in favour of reuniting with Russia. These numbers speak for themselves.
To understand the reason behind such a choice it is enough to know the history of Crimea and what Russia and Crimea have always meant for each other.
Everything in Crimea speaks of our shared history and pride. This is the location of ancient Khersones, where Prince Vladimir was baptised. His spiritual feat of adopting Orthodoxy predetermined the overall basis of the culture, civilisation and human values that unite the peoples of Russia, Ukraine and Belarus. The graves of Russian soldiers whose bravery brought Crimea into the Russian empire are also in Crimea. This is also Sevastopol – a legendary city with an outstanding history, a fortress that serves as the birthplace of Russia’s Black Sea Fleet. Crimea is Balaklava and Kerch, Malakhov Kurgan and Sapun Ridge. Each one of these places is dear to our hearts, symbolising Russian military glory and outstanding valour.
----------------
Zaidi soma hotuba yote hapa>>> Address by President of the Russian Federation on the reunification of the Republic of Crimea and the city of Sevastopol with Russia - Wikisource, the free online library
Nimeisoma.Kwa sababu hotuba ya Rais Putin ni ndefu kidogo ngoja nikuchomolee maelezo kadhaa kwenye hotuba yake inayoonyesha kuwa hakuna sheria ya kimataifa iliyovunjwa wakati wa kuungana kati ya Crimea na Russia. Kwa maneno mengine hakuna kuchukuliwa kwa nguvu kulikotokea.
Karibu.
-----
First, we had to help create conditions so that the residents of Crimea for the first time in history were able to peacefully express their free will regarding their own future. However, what do we hear from our colleagues in Western Europe and North America? They say we are violating norms of international law. Firstly, it’s a good thing that they at least remember that there exists such a thing as international law – better late than never.
Secondly, and most importantly – what exactly are we violating? True, the President of the Russian Federation received permission from the Upper House of Parliament to use the Armed Forces in Ukraine. However, strictly speaking, nobody has acted on this permission yet. Russia’s Armed Forces never entered Crimea; they were there already in line with an international agreement. True, we did enhance our forces there; however – this is something I would like everyone to hear and know – we did not exceed the personnel limit of our Armed Forces in Crimea, which is set at 25,000, because there was no need to do so.
Next. As it declared independence and decided to hold a referendum, the Supreme Council of Crimea referred to the United Nations Charter, which speaks of the right of nations to self-determination. Incidentally, I would like to remind you that when Ukraine seceded from the USSR it did exactly the same thing, almost word for word. Ukraine used this right, yet the residents of Crimea are denied it. Why is that?
Moreover, the Crimean authorities referred to the well-known Kosovo precedent – a precedent our western colleagues created with their own hands in a very similar situation, when they agreed that the unilateral separation of Kosovo from Serbia, exactly what Crimea is doing now, was legitimate and did not require any permission from the country’s central authorities. Pursuant to Article 2, Chapter 1 of the United Nations Charter, the UN International Court agreed with this approach and made the following comment in its ruling of July 22, 2010, and I quote: “No general prohibition may be inferred from the practice of the Security Council with regard to declarations of independence,” and “General international law contains no prohibition on declarations of independence.” Crystal clear, as they say.
I do not like to resort to quotes, but in this case, I cannot help it. Here is a quote from another official document: the Written Statement of the United States America of April 17, 2009, submitted to the same UN International Court in connection with the hearings on Kosovo. Again, I quote: “Declarations of independence may, and often do, violate domestic legislation. However, this does not make them violations of international law.” End of quote. They wrote this, disseminated it all over the world, had everyone agree and now they are outraged. Over what? The actions of Crimean people completely fit in with these instructions, as it were. For some reason, things that Kosovo Albanians (and we have full respect for them) were permitted to do, Russians, Ukrainians and Crimean Tatars in Crimea are not allowed. Again, one wonders why.
We keep hearing from the United States and Western Europe that Kosovo is some special case. What makes it so special in the eyes of our colleagues? It turns out that it is the fact that the conflict in Kosovo resulted in so many human casualties. Is this a legal argument? The ruling of the International Court says nothing about this. This is not even double standards; this is amazing, primitive, blunt cynicism. One should not try so crudely to make everything suit their interests, calling the same thing white today and black tomorrow. According to this logic, we have to make sure every conflict leads to human losses.
I will state clearly - if the Crimean local self-defence units had not taken the situation under control, there could have been casualties as well. Fortunately this did not happen. There was not a single armed confrontation in Crimea and no casualties. Why do you think this was so? The answer is simple: because it is very difficult, practically impossible to fight against the will of the people. Here I would like to thank the Ukrainian military – and this is 22,000 fully armed servicemen. I would like to thank those Ukrainian service members who refrained from bloodshed and did not smear their uniforms in blood.
Other thoughts come to mind in this connection. They keep talking of some Russian intervention in Crimea, some sort of aggression. This is strange to hear. I cannot recall a single case in history of an intervention without a single shot being fired and with no human casualties
-------------
Hakukuwa na military intervention kule maeneo ya Crimea. Kulingana na makubaliano yaliyokuwepo baada ya Ukrane kujitenga Russia; Russia walikuwa wanaruhusiwa kuwa na wanajeshi wasiozidi 25,000 kwenye maeneo ya Crimea. Mpaka Crimea inajiunga na Russia idadi hiyo ilikuwa haijavukwa. Na kama ingevukwa, vyombo vyote vya magharibi vingeshupalia hii kama uvamizi na ushahidi wangeutoa hadharani ili kuua kabisa uhalali wa Crimea kujiunga na Russia ambao ulifuata misingi ya taratibu za kimataifa. Usisahau kuwa wakati hayo yanaanza kutokea kulikuwa na kikosa cha askari zaidi ya 22,000 wa Ukraine tena wakiwa na silaha kali za kivita.Ni Baada Ya Military Intervention
Leta ushahidi usiotiliwa shaka wa hoja zako hizi, Mkuu. Hapa tupo kuelimisha tena kwa kuelezana ukweli.Hotuba Za Putin Ni Danganya Toto Tu, Anajua Alichokifanya Ila Anataka Kuiaminisha Dunia Kwamba Crimea Imekubali Kwa Hiari Wakati Ni Controversial Agreement Iliyochochewa Kijeshi. Hawezi Sema Hadharani Zile Military Occupations Alizokuwa Akitoa Order Yeye Mwenyewe Kufanyika Crimea Zilikuwa Na Nia Gani!
Hizi Sio Hoja Zangu Mkuu. Ukraine Yenyewe Imedhibitisha Hili Kuwa Ni Military Intervention Sababu Pengine Ni Msimamo Wao Na Mataifa Ya Magharibi.Leta ushahidi usiotiliwa shaka wa hoja zako hizi, Mkuu. Hapa tupo kuelimisha tena kwa kuelezana ukweli.
Natanguliza shukrani.
Sawa Mkuu, kwa hiyo suala la Crimea tumekubaliana kuwa hakukuwa na uvamizi. Bali kwa sasa uvamizi uko kwenye maeneo ya majimbo mawili yaliyokataa kutii amri za Kiev, siyo? Kwa maneno mengine turudi rasmi kwenye msingi wa hoja ya uzi huu (waasi mashariki mwa Ukraine wafanya uchaguzi)....... Lakini Hajajibu Tuhuma Za Mauaji Ya Wanajeshi Na Raia Yaliosababishwa Na Migogoro Hiyo Inayoendelea ..!
Sasa Sisi Itatusaidia Nini Tukikubaliana Hakukuwa Na Uvamizi Wakati Ulikuwepo Kwa Mujibu Wa Ukraine Yenyewe Na Umoja Wa Ulaya.Sawa Mkuu, kwa hiyo suala la Crimea tumekubaliana kuwa hakukuwa na uvamizi. Bali kwa sasa uvamizi uko kwenye maeneo ya majimbo mawili yaliyokataa kutii amri za Kiev, siyo? Kwa maneno mengine turudi rasmi kwenye msingi wa hoja ya uzi huu (waasi mashariki mwa Ukraine wafanya uchaguzi).
Umoja wa Ulaya hautotoa kiini cha ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine. Taarifa zote wanazozitoa ni za kupikwa. Wao pamoja na Utawala wa sasa hivi wa Ukraine.Sasa Sisi Itatusaidia Nini Tukikubaliana Hakukuwa Na Uvamizi Wakati Ulikuwepo Kwa Mujibu Wa Ukraine Yenyewe Na Umoja Wa Ulaya.
Hizo Tuhuma Nyingine Ambazo
Unahisi Kama Zimetoka Nje Ya Mada, Ni Baadhi Ya Mambo Tu Ambayo Russia Amekuwa Akituhumiwa Kujihusisha Nayo Ambayo Yanakwamisha Maelewano Na Taratibu Za Kiusuluhishi Eneo Lile. Ndio Maana Migogoro Imekuwepo Kwa Muda Mrefu Tu.
factUmoja wa Ulaya hautotoa kiini cha ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine. Taarifa zote wanazozitoa ni za kupikwa. Wao pamoja na Utawala wa sasa hivi wa Ukraine.
Ukraine kabla ya kuwa na mgogoro kulikuwa na Rais tena aliyechaguliwa kidemokrasia kwa kura ya wanachi(kama sijakosea ilikuwa ni 2010) aliyekuwa anaitwa Victor Yanukovoch. Lakini mwaka 2014 NATO walifanya coup in Ukraine and western countries sold like a revolution. Akaingia madarakani kibaraka wao Petrol Poroshenko, ambaye mpaka sasa bado yupo madarakani. Ambaye ana' support'iwa na Ukraine ya magharibi. Ukraine ya mashariki ika'resist hiyo hali ya coup ambayo ilitokea. Kwa vile CIA+NATO ndiyo waliyobariki hiyo coup kwa jina la revolution na kututangazia katika MSM zao, wakazi wa eastern Ukraine waliyo'resist wakaitwa Rebels.
Kuna mambo unabidi uyafahamu. Ukraine alikuwa ni member wa USSR na miaka ya 1990 USSR ilivyogawanyika makubaliano waliyoingia na NATO ni kwamba NATO hatosogeza hata centimeter moja(kujitanua kuelekea mama wa USSR ambaye ni Russia) lakini NATO walivunja hayo makubaliano na wakajaribu kuingia mpaka na Ukraine( na ndiyo hayo mapinduzi waliyoyafanya). Kama ukiangalia ramani ndiyo utaona Ukraine na Russia ni majirani kama Tz na Kenya. Hiyo mosi, kwa ufupi tu ufahamu hilo. Kumfanya Ukraine member wa NATO ni sawasawa kwa Russia kuweka base ya kijeshi Mexico, ambaye ni jirani wa America.
Wasichoelewa wa Ukraine wanaolishwa hiyo pumba ni kwamba, Ukraine anachezewa tu, wala NATO hawana mpango nao. NATO wanachokitaka kwa Ukraine ni kumtumia tu kwa maslahi yao juu ya Russia. Na wamejazwa chuki vibaya sana na NATO. Na matokeo ya hayo yote ni faida ya propaganda, na ndiyo hiyo ambayo wengine mnalishwa.
ila ulaya hao hao waliona sawa kwa kosovo kujitenga au siyo,msumeno unakata kote kote!Umekwenda Mbali Sana Ndugu. Jaribu Kufuatilia Process Nzima Ilivyoenda Kabla Ya Hayo Makubaliano Kufanyika.
Hawakujiunga Kwa Hiari Yao. Walikuwa Taken Over Kijeshi.
Kabla Ya Hapo Tayari Russia Alikuwa Amesha Occupy Crimea Na Hata Ukraine Walilaani Hicho Kitu Jambo Lililopelekea Kuwekewa Vikwazo. Process Ya Kuitwaa Crimea Haikuanzia Kwenye Hayo Makubaliano Na Hizo Kura.
Na Ndio Maana Huo Muunganiko Unakuwa Termed As "Illegal" Sababu Russia Walitumia Military Force. Tayari Walikishaivamia Kijeshi Waka-Occupy Bunge, Viwanja Vya Ndege n.k.
Hotuba Za Putin Ni Danganya Toto Tu, Anajua Alichokifanya Ila Anataka Kuiaminisha Dunia Kwamba Crimea Imekubali Kwa Hiari Wakati Ni Controversial Agreement Iliyochochewa Kijeshi. Hawezi Sema Hadharani Zile Military Occupations Alizokuwa Akitoa Order Yeye Mwenyewe Kufanyika Crimea Zilikuwa Na Nia Gani!
____________
AhahahaUkilog off utawajuaje
Mkuu, Kwenye Mchango Wako Hapo Umejaribu Kueleza Kwamba NATO Ndio Chanzo Cha Mgogoro Wa Ukraine. Ingawa, Kinachoonekana Ni Kwamba Haya Yanayotokea Ukraine Yanadhihirisha Kwamba Kuna Mvutano Mkubwa Kati Ya Marekani (NATO) Na Urusi Na Ndio Maana Urusi Amekuwa Akiunga Mkono Majimbo Hayo Ya Ukraine Kujitenga.Umoja wa Ulaya hautotoa kiini cha ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine. Taarifa zote wanazozitoa ni za kupikwa. Wao pamoja na Utawala wa sasa hivi wa Ukraine.
Ukraine kabla ya kuwa na mgogoro kulikuwa na Rais tena aliyechaguliwa kidemokrasia kwa kura ya wanachi(kama sijakosea ilikuwa ni 2010) aliyekuwa anaitwa Victor Yanukovoch. Lakini mwaka 2014 NATO walifanya coup in Ukraine and western countries sold like a revolution. Akaingia madarakani kibaraka wao Petrol Poroshenko, ambaye mpaka sasa bado yupo madarakani. Ambaye ana' support'iwa na Ukraine ya magharibi. Ukraine ya mashariki ika'resist hiyo hali ya coup ambayo ilitokea. Kwa vile CIA+NATO ndiyo waliyobariki hiyo coup kwa jina la revolution na kututangazia katika MSM zao, wakazi wa eastern Ukraine waliyo'resist wakaitwa Rebels.
Kuna mambo unabidi uyafahamu. Ukraine alikuwa ni member wa USSR na miaka ya 1990 USSR ilivyogawanyika makubaliano waliyoingia na NATO ni kwamba NATO hatosogeza hata centimeter moja(kujitanua kuelekea mama wa USSR ambaye ni Russia) lakini NATO walivunja hayo makubaliano na wakajaribu kuingia mpaka na Ukraine( na ndiyo hayo mapinduzi waliyoyafanya). Kama ukiangalia ramani ndiyo utaona Ukraine na Russia ni majirani kama Tz na Kenya. Hiyo mosi, kwa ufupi tu ufahamu hilo. Kumfanya Ukraine member wa NATO ni sawasawa kwa Russia kuweka base ya kijeshi Mexico, ambaye ni jirani wa America.
Wasichoelewa wa Ukraine wanaolishwa hiyo pumba ni kwamba, Ukraine anachezewa tu, wala NATO hawana mpango nao. NATO wanachokitaka kwa Ukraine ni kumtumia tu kwa maslahi yao juu ya Russia. Na wamejazwa chuki vibaya sana na NATO. Na matokeo ya hayo yote ni faida ya propaganda, na ndiyo hiyo ambayo wengine mnalishwa.
Tatizo lako unasikiliza upande mmoja wa habari. Unafahamu chochote kuhusu coup in Kiev?Mkuu, Kwenye Mchango Wako Hapo Umejaribu Kueleza Kwamba NATO Ndio Chanzo Cha Mgogoro Wa Ukraine. Ingawa, Kinachoonekana Ni Kwamba Haya Yanayotokea Ukraine Yanadhihirisha Kwamba Kuna Mvutano Mkubwa Kati Ya Marekani (NATO) Na Urusi Na Ndio Maana Urusi Amekuwa Akiunga Mkono Majimbo Hayo Ya Ukraine Kujitenga.
Kwahiyo Mvutano Huo Ndio Kitu Ambacho Umoja Wa Ulaya Umekuwa Ukitoa Wito Na Kutaka Juhudi Zifanyike Ili Kutatua Mgogoro Huo Na Huku Zikiendelea Kufanyika Ingawa Juhudi Zimekuwa Zikishindikana Mara Kwa Mara.
Kusuluhisha Migogoro Hiyo Ndio Jambo La Msingi Zaidi. Vyombo Vya Habari Vinaripoti Tu Jinsi Mambo Yanavyoendelea. Tuache Ile Tabia Ya Kufikiri Kwamba Kila Anachosimamia Umoja Wa Ulaya Ni Kwa Ajili Ya Maslahi Ya Marekani Au Ni Kwaajili Ya Kumuonea Urusi. Tukifikiri Hivyo Ni Lazima Tutafikiri Tunalishwa Pumba Tu Na Suluhu Haitoweza Kupatikana.
Hata Kama Umoja Wa Ulaya Wana Makosa, Tusihalalishe Makosa Ya Mwingine Ili Tu Kumkomoa EU. Tujaribu Kuangalia Pande Zote Mbili Ili Tupate Usuluhishi Wa Kudumu. Na Ndio Maana Haiwezekani Kupata Suluhu Kama Kuna Mmoja Anaeingilia Kati Na Kukwamisha Juhudi Hizo.
Sawa! Ndio Maana Statement Yangu Ya Mwisho Nimesema Hata Kama EU Anamakosa, Tusiishie Kutupa Lawama Tu Kwake, Tuangalie Pande Zote Mbili Ili Kutafuta Suluhu! Leo Hii Kama EU Ana Nia Ya Kutafuta Usuluhishi Katika Eneo Lile Baada Ya Kile Kilichotokea Huko Nyuma Na Kwa Jinsi Hali Inavyokwenda Si Jambo La Busara Sana Kuendelea Kumlaumu Na Haitosaidia Suluhisho Kupatikana.Tatizo lako unasikiliza upande mmoja wa habari. Unafahamu chochote kuhusu coup in Kiev?
Kipindi coup inafanyika kulikuwa na maandamano Kiev. Unajua huo umoja wa Ulaya unaounadi unatoa wito ili kutatua mgogoro wa Ukraine walisemaje kuhusu hayo maandamano? Walisema " don't touch those protesters in Kiev, hao ni peaceful protesters " Lakini waandamaniaji waliandamana na silaha kama pistol,rifles,. Na unafahamu hayo maandamo ambayo hao umoja wa ulaya waliyaita ya amani Kiev ilikuwaje? Ilichafuka pamoja na umwagaji wa damu ukatokea. Watu walikuwa wanauliwa na government building zikawa zinavamiwa na hao waandamanaji. Kipindi hicho Petro Poroshenko ndiyo akaingia madarakani kwa coup.
Eastern/South Ukraine walivyoona hali inakuwa mbaya zaidi wakaamua ku'fight back hao waliyopora madaraka. Sasa unajua hao wa Ulaya unaodai wanatafuta suluhu juu ya huo mgogoro waliwaitaje hao waliyoamua kuinusuru nchi yao? Waliitwa rebels Mara terrorist.
Poroshenko akatuma jeshi la Ukraine kwenda maeneo waliyoresist hiyo coup. Ndiyo hali inayotokea mpaka sasa, piga nikupige. Na hiyo coup hao unaowaona wema wao waliibariki kwa kuiita revolution na Obama aliongea naye aliyefanikisha hiyo coup. Nakumbuka aliongea naye Whitehouse kama sijakosea.
Wewe unakuja na madai Umoja wa Ulaya unataka amani ipatikane Ukraine. Umoja huu Hui ambao wanawa fund waliyofanya hayo mapinduzi.