Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hizi habari mbona sizielewi mimi nazielewa za kimasihara na komasavaWaasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.
Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini Ijumaa jioni na wataendelea na harakati zao Jumamosi ya leo.
Soma Pia: Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu
Waasi wa M23 wa ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini.
Nasikia South Africa wanapeleka Brigade mbili huko Katanga.
Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.

Waasi wa M23 sasa wanapaswa watangaze kuundwa kwa nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu ili sasa waanze kutoa huduma za kijamii kwenye maeneo wanayotawala.Mji wa bukavu uko mikinoni mwa M23 kwa sasa,raia wanasema walikuwa wameteseka sana kwa myaka mingi,wakiteswa na Jeshi la Congo na vikundi vingine.
Waasi wa M23 sasa wanapaswa watangaze kuundwa kwa nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu ili sasa waanze kutoa huduma za kijamii kwenye maeneo wanayotawala.
We mbona unavuja siri vip wewe?Waasi wa M23 sasa wanapaswa watangaze kuundwa kwa nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu ili sasa waanze kutoa huduma za kijamii kwenye maeneo wanayotawala.
kuivamia Burundi ni kosa , wanaweza sababisha vita ya kikanda maana hata Tz lzm tuingie mzigoni mazimaBurundi ni next stop wajipange!
kuivamia Burundi ni kosa , wanaweza sababisha vita ya kikanda maana hata Tz lzm tuingie mzigoni mazima