Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Burundi kilichompeleka ni ukabila tuu, Tanzania ikae mbali sana na hii vita ya kifala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah lazima vita ya kikanda itakuwa sababu next stop itakuwa kigoma Tzkuivamia Burundi ni kosa , wanaweza sababisha vita ya kikanda maana hata Tz lzm tuingie mzigoni mazima
Jeshi la Kongo ni Jeshi?!😆😆😁Nchi yoyote kupeleka wanajeshi wenu pale ni kwenda kusababisha mauaji kwa vijana wenu, maana wanajeshi wenyewe wa Kongo wanakimbia mapambano mnaachwa muuawe nyie.
Kwa sababu Utawala wa Rais Tseshekedi umeshindwa kutawala katika nchi hiyo.We mbona unavuja siri vip wewe?
Lazima wewe ni mkabila tuu, warundi wenzako wanatafuta wanamgambo nafasi zipo, karibu sanaYah lazima vita ya kikanda itakuwa sababu next stop itakuwa kigoma Tz
mpaka hapa walipofikia hawa M23 Jeshi letu kama wana intelejensia nzur wawashe taa nyekundu mapema!
Hakuna sehemu nimeongelea ukabila hao M23 Wapo kimkakati zaidi kuongeza maeneo usidhani wataishia hapoLazima wewe ni mkabila tuu, warundi wenzako wanatafuta wanamgambo nafasi zipo, karibu sana
Hawa jamaa hawapati upinzani wowote.... kweli Drc ni 'failed state '.Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.
Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini Ijumaa jioni na wataendelea na harakati zao Jumamosi ya leo.
Soma Pia: Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu
Waasi wa M23 wa ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini.
Hizo matako mnazozisifia hakuna wa kupigana na Tanzania hata mmoja. Watagusa uko uko kwa watu wasiokua na nidhamu. M7 na pk wote wanajua Hilo hakuna Cha mkakati wa mipango. kwani Tanzania hakuna Mali? Mbona hawavamii?. Na hakuna wowote wowote wa kuleta matako bongo hata kwa bahati mbaya.Hiyo vita inahitaji adabu kuingilia, ukienda hovyo unaletewa vita nyumbani kwako, PK na M7 wanajua agenda yao.
Tulinde mipaka yetu tukiguswa Kila mahala ndio tujibu kwa kishindo, hawa wahuni wako na program zao lazima ujiasses kabla ya kuchagua upande na Intel yako iwe ya uhakika kujua ground ikoje.
unapolind mipaka yako baadae utaweza wakabili DRC , Burundi , Uganda na Rwanda ? unaposubir ttzo , nalo ttzo linajipanga kuwa ktk namna hutoweza litatua , WATUTSI WAKITEKA BURUNDI NA DRC BAS HATUTAKUWA NA JEUR YA KUSIMAMA NAO ULINGONI ITAKUWA NI KUFUATA AMRI TUHiyo vita inahitaji adabu kuingilia, ukienda hovyo unaletewa vita nyumbani kwako, PK na M7 wanajua agenda yao.
Tulinde mipaka yetu tukiguswa Kila mahala ndio tujibu kwa kishindo, hawa wahuni wako na program zao lazima ujiasses kabla ya kuchagua upande na Intel yako iwe ya uhakika kujua ground ikoje.
huez elewa Rwanda ana vikundi vingi vya kiasi , huenda hata kwetu ashaanza pandikiza muda tu anasubir muda ukifika , Kule Burundi kuna waasi wanatokea DRC wanaitwa Red Rabara hawa hupigana dhidi ya serikali ya Burundi na hawa wanapewa mafunzo na usaidiz na Kagame , Burundi anapigana vita ya mbele sisi tunamuona mjinga ila Kagame analenga hadi Tz ni swala la muda tu , miaka kadha nliwai kuwa nakaa ghetto moja na afisa mmoja , kwa mujibu wa watu wetu nyeti walikuwa wanareport kua majambaz wengi wa Kule Kasindag na Kimis mkoa X ni wanajeshi wa mr Tall , na hiyo ilikuwa njia ya kujipatia mapato pia , walianza jaribu hv miaka ya 2000 to 2010 ila walikutana jeshi imara la JK ( apongezwe JK ) , ss sijui kama siku hz tunaendelea na ubora uleBurundi kilichompeleka ni ukabila tuu, Tanzania ikae mbali sana na hii vita ya kifala
je unajuwa kwann hawakutan na upinzani wowote , hao waasi wanayajua hayo maeneo vzr kuliko hata majeshi ya serikai pia hayo majesh ya waasi wanapikwa kisaikolojia kuwa na uchung na hiyo vita tofaut na hao wanajesh wa serikali ambao wanaokotana , DRC inahitaj msaada mkubwa sn na sio kuwaacha waasi wapore madaraka , hao m23 hawataishia hapo tujipange hata sisi TzHawa jamaa hawapati upinzani wowote.... kweli Drc ni 'failed state '.
Madai ya M23 yako very clear, watambulike raia halali wa Congo na wahakikishiwe usalama wao, hayo ya kuongeza maeneo ni story za wakabila and uninformedHakuna sehemu nimeongelea ukabila hao M23 Wapo kimkakati zaidi kuongeza maeneo usidhani wataishia hapo
nisome vizuri man'
Nao wanatekwa.Hivi m23 wanateka maeneo je wanajeshi wetu wa jwtz wako wapo?
Hawawezi na wala hawana nia na TZ, hao Wacongo wapigane wenyewe vita vyao.je unajuwa kwann hawakutan na upinzani wowote , hao waasi wanayajua hayo maeneo vzr kuliko hata majeshi ya serikai pia hayo majesh ya waasi wanapikwa kisaikolojia kuwa na uchung na hiyo vita tofaut na hao wanajesh wa serikali ambao wanaokotana , DRC inahitaj msaada mkubwa sn na sio kuwaacha waasi wapore madaraka , hao m23 hawataishia hapo tujipange hata sisi Tz
Weka facts zisizotia shaka haya uyasemayo, jeshi letu lilinde mipaka yetu na hakuna atakayejaribu kuivamia na hao Wahutu wapambane wenyewe na wauane wenyewe mpaka wachoke.Hakuna sehemu nimeongelea ukabila hao M23 Wapo kimkakati zaidi kuongeza maeneo usidhani wataishia hapo
nisome vizuri man'
Hahahaha ndo ilivyo kumbe!Nao wanatekwa.
Umetumia hisia zaidi na sio uhalisia…Hizo matako mnazozisifia hakuna wa kupigana na Tanzania hata mmoja. Watagusa uko uko kwa watu wasiokua na nidhamu. M7 na pk wote wanajua Hilo hakuna Cha mkakati wa mipango. kwani Tanzania hakuna Mali? Mbona hawavamii?. Na hakuna wowote wowote wa kuleta matako bongo hata kwa bahati mbaya.
Ndiyo ingieni mtajua ni hisia au uhalisiaUmetumia hisia zaidi na sio uhalisia…