Waasi wa M23 Wateka Bukavu, Jiji la Pili kwa ukubwa Mashariki mwa DRC

kuivamia Burundi ni kosa , wanaweza sababisha vita ya kikanda maana hata Tz lzm tuingie mzigoni mazima
Yah lazima vita ya kikanda itakuwa sababu next stop itakuwa kigoma Tz
mpaka hapa walipofikia hawa M23 Jeshi letu kama wana intelejensia nzur wawashe taa nyekundu mapema!
 
Nchi yoyote kupeleka wanajeshi wenu pale ni kwenda kusababisha mauaji kwa vijana wenu, maana wanajeshi wenyewe wa Kongo wanakimbia mapambano mnaachwa muuawe nyie.
Jeshi la Kongo ni Jeshi?!😆😆😁
 
Yah lazima vita ya kikanda itakuwa sababu next stop itakuwa kigoma Tz
mpaka hapa walipofikia hawa M23 Jeshi letu kama wana intelejensia nzur wawashe taa nyekundu mapema!
Lazima wewe ni mkabila tuu, warundi wenzako wanatafuta wanamgambo nafasi zipo, karibu sana
 
Lazima wewe ni mkabila tuu, warundi wenzako wanatafuta wanamgambo nafasi zipo, karibu sana
Hakuna sehemu nimeongelea ukabila hao M23 Wapo kimkakati zaidi kuongeza maeneo usidhani wataishia hapo
nisome vizuri man'
 
Hawa jamaa hawapati upinzani wowote.... kweli Drc ni 'failed state '.
 
Hizo matako mnazozisifia hakuna wa kupigana na Tanzania hata mmoja. Watagusa uko uko kwa watu wasiokua na nidhamu. M7 na pk wote wanajua Hilo hakuna Cha mkakati wa mipango. kwani Tanzania hakuna Mali? Mbona hawavamii?. Na hakuna wowote wowote wa kuleta matako bongo hata kwa bahati mbaya.
 
unapolind mipaka yako baadae utaweza wakabili DRC , Burundi , Uganda na Rwanda ? unaposubir ttzo , nalo ttzo linajipanga kuwa ktk namna hutoweza litatua , WATUTSI WAKITEKA BURUNDI NA DRC BAS HATUTAKUWA NA JEUR YA KUSIMAMA NAO ULINGONI ITAKUWA NI KUFUATA AMRI TU
 
Burundi kilichompeleka ni ukabila tuu, Tanzania ikae mbali sana na hii vita ya kifala
huez elewa Rwanda ana vikundi vingi vya kiasi , huenda hata kwetu ashaanza pandikiza muda tu anasubir muda ukifika , Kule Burundi kuna waasi wanatokea DRC wanaitwa Red Rabara hawa hupigana dhidi ya serikali ya Burundi na hawa wanapewa mafunzo na usaidiz na Kagame , Burundi anapigana vita ya mbele sisi tunamuona mjinga ila Kagame analenga hadi Tz ni swala la muda tu , miaka kadha nliwai kuwa nakaa ghetto moja na afisa mmoja , kwa mujibu wa watu wetu nyeti walikuwa wanareport kua majambaz wengi wa Kule Kasindag na Kimis mkoa X ni wanajeshi wa mr Tall , na hiyo ilikuwa njia ya kujipatia mapato pia , walianza jaribu hv miaka ya 2000 to 2010 ila walikutana jeshi imara la JK ( apongezwe JK ) , ss sijui kama siku hz tunaendelea na ubora ule
 
Hawa jamaa hawapati upinzani wowote.... kweli Drc ni 'failed state '.
je unajuwa kwann hawakutan na upinzani wowote , hao waasi wanayajua hayo maeneo vzr kuliko hata majeshi ya serikai pia hayo majesh ya waasi wanapikwa kisaikolojia kuwa na uchung na hiyo vita tofaut na hao wanajesh wa serikali ambao wanaokotana , DRC inahitaj msaada mkubwa sn na sio kuwaacha waasi wapore madaraka , hao m23 hawataishia hapo tujipange hata sisi Tz
 
Hakuna sehemu nimeongelea ukabila hao M23 Wapo kimkakati zaidi kuongeza maeneo usidhani wataishia hapo
nisome vizuri man'
Madai ya M23 yako very clear, watambulike raia halali wa Congo na wahakikishiwe usalama wao, hayo ya kuongeza maeneo ni story za wakabila and uninformed
 
Hawawezi na wala hawana nia na TZ, hao Wacongo wapigane wenyewe vita vyao.
It's very stupid watu wanawasaidia wao hawapigani bali wanakula rushwa na kuwageuka wanawasaidia. Kauli zao za "nikufe juu ya nini" halafu wewe boya ujipeleke kufa kwa ajili ya watu wa aina hiyo huku wenyewe wakikata viuno kwenye mabaa na kujipaka mikorogo usiku kucha then asubuhi wanarudia tena kulialia wakiomba watu wawapiganie vita vinavyowahusu wao wenyewe.
 
Hakuna sehemu nimeongelea ukabila hao M23 Wapo kimkakati zaidi kuongeza maeneo usidhani wataishia hapo
nisome vizuri man'
Weka facts zisizotia shaka haya uyasemayo, jeshi letu lilinde mipaka yetu na hakuna atakayejaribu kuivamia na hao Wahutu wapambane wenyewe na wauane wenyewe mpaka wachoke.
Nchi haivamiwi kirahisi na vita ni mipango ya muda mrefu. Nchi stable si rahisi kuivamia na kuiteka, DRC haina jeshi bali wale they're just assholes in uniforms.
 
Umetumia hisia zaidi na sio uhalisia…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…