Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Ni tukio la siku 5 nyuma. Kuna taarifa za malori ya mafuta yaliyoteketezwa yakiwa njiani kuingia Mali baada ya kushambuliwa na makundi ya kigaidi, kama vile JNIM linalohusiana na al-Qaeda, ambayo yamekuwa yakizuia njia kuu za biashara, kuchoma malori ya mafuta, na kuwatoza madereva kwa lengo la kuidhoofisha serikali na uchumi.
Waasi hao wanashambulia misafara ya mafuta inayotoka katika nchi kama Senegal na Côte d'Ivoire, jambo linalosababisha upungufu wa mafuta na kupanda kwa bei katika maeneo kama mji mkuu, Bamako. Angalia link hapo
Facebook
www.facebook.com