Waasisi wa lile ‘Genge la Mtandaoni’ la kuipinga Awamu ya Sita kwa malengo yao kikabila wanajulikana!

Dogo
Hebu tutajie kwa majina hata kwa codes tuwajue tuanze kuwachambisha kwa upupu
 
Ujinga mwingine Bhana!!

Na wewe hapa unajiona umeandika bonge la mada, kumbe umejianika kama mjusi juani, huna lolote!!

Kawakamate uwapeleke huko utakako, hapa kinachokubwesha ni nini wakati watu wenyewe unawafahamu?
 
Hakuna cha maana zaidi ya kuonyesha chuki zako kwa watu ambao unawaogopa hata umeshindwa kuwataja.
uandishi wako wa kushindwa kujua herufi na ujengaji wako wa hoja,wewe ni mmoja ya watu wenye ufahamu mdogo na unaishi kwa kukujipendekeza,huku ukiamini mtu yeyote anayeshauri tofauti na mawazo yako hampendi mama.

Kaa ukijua hao unao washambulia ndo walihoji uteuzi wa Mkurugenzi wa TPDC ,na yule Katibu tawala wa form four,na ikamsaidia mama kufanya maamuzi sahihi.
 
Mnajisifia kutengeneza nyumba ya mwenzio? 2025 CCM mteremko. Chakula hapewi mtoto wa jirani, kura kwenda CCM mikono wachafuke Chadema. Mama Samia,CCM kwa ujumla oyeeeeeeeeee
 
Wewe unadhani atakuwa wapi sasa jitu liuwaji vile?
 
Wewe ni mpuuzi tena acha kunifananisha na hao majangili wenzio
 
Mleta mada bora ungejikita tu kupigania wapalestina wenzio wanaokufa kila siku kuliko kuja kuleta uharo humu
 
Wewe ni mpuuzi tena acha kunifananisha na hao majangili wenzio
Ndo ufahamu wako ulipoishia,siyo kila mtu anaweza kufanya uchambuzi, yawezekana ulikuwa na wazo zuri,tatizo analysis ni zero kabisa.
 
Reactions: Ame
Wewe hapo unapiga rangi huo ukabila tena kwa crazy colours...Pole sana!
 
Mnajisifia kutengeneza nyumba ya mwenzio? 2025 CCM mteremko. Chakula hapewi mtoto wa jirani, kura kwenda CCM mikono wachafuke Chadema. Mama Samia,CCM kwa ujumla oyeeeeeeeeee
Nenda Kisongo kumsalimia mumeo jambazi Sabaya,usisahau kumpelekea vilainishi,maana anateseka kweli machalii wanabutua kijelajela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…