Waasisi wa lile ‘Genge la Mtandaoni’ la kuipinga Awamu ya Sita kwa malengo yao kikabila wanajulikana!

Mpaka sasamama amefanya kazi nzuri sana, Utu, uhuru, hekima vimeanza kutamalaki katika nchi na duru za uongozi
Na ujambazi umerudi , tunateka mabasi na malori ya mizigo.
Siku tukikukata mapanga usiache kumsia huyo unauemsifu.
Hongera kwa uzalendo
 
Hebu acha uzushi basi na chuki zako binafsi dhidi ya shujaa mwana mwema wa Africa Mh Dr JPM ( Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen)! Wala usianze kutafuta 'justifiction' ya kutelekeza miradi mkakati tuliyoanza ijenga kwa manufaa yetu wenyewe watz! Kama inakuuma kwamba kukamirika kwake kutakusuta maisha yako yote na kuikuza 'legacy' ya unayemchukia...ww hesabu imekula kwako, miradi yote itakamirika kikamirifu na kutufaidisha watz wenyewe tena kwa spidi ileile na kuzidi! Tunayo imani na mama SSH, the Iron lady, atahakikisha hawaangushi kinamama, wasichana na wanawake wote wa kitz wenye ndoto za kufanya makubwa na hata kuwa ma rais wajao kwa kuhakikisha anaweka imani kwa wanaume na hata wanawake kuwa rais mwanamke tz anaweza fanya makubwa na ya mfano akipewa nafasi kama iliyomuangukia mama yetu mwenye macho na sauti mlegezo! Mam SSH anao wajibu mkubwa wa kuwa'prove' wrong' walio na mtazamo wa mfumo dume!
kipimo ni kuhakikisha anakamirisha miradi yote ilioanzisha na mtangulizi wake Mh. Dr JPM(may his precious soul rest in eternal peace and power, amen🙏)! Vinginevyo atakuwa amewafungua mipango wanawake na mabinti wote wa kitz nafasi nyingi sana ktk jamii yetu! Katuhakikishia anaweza na hakuna kitakachoharibika, so sit down & relax, & enjoy the show 😜!
 
Nenda Kisongo kumsalimia mumeo jambazi Sabaya,usisahau kumpelekea vilainishi,maana anateseka kweli machalii wanabutua kijelajela.
Foolish, spend your time on Chadema, make sure you strengthen the party and you participate to mobilise of Members. That will help you otherwise you will loose big 2025. Akili ya Jamhuri ya twitter. Upotoshaji na utoto mwingi.
 
Wakati wao wakiendelea na propaganda wakiofaidika kipindi cha jiwe nawewe ndo unaanza propaganda unaofaidika katika awamu ya Jumong sio?

Mimi sifanyi propaganda mkuu,wanaofanya propaganda wanafaidika na mifumo ,mimi sipo kwenye mifumo ya kisiasa na wala sio mwanasiasa kabisa,nanukuu kwa situation ile tuliyopitia Nov 2015 hadi Feb 2021 angetokea mwingine tofauti na jiwe atakuwa na nafuu mwisho wa kunukuu.
 
Foolish, spend your time on Chadema, make sure you strengthen the party and you participate to mobilise of Members. That will help you otherwise you will loose big 2025. Akili ya Jamhuri ya twitter. Upotoshaji na utoto mwingi.
Kingereza hakiwezi kukusaidia kuondoa ujinga kichwani mwako
 
Nina mambo kadhaa hapa:-
1) Sikujua kama na wewe ni mmoja wa mapumbavu ya jf.

2) Sikujua kama unaweza kuwa juha lisilojua hata tofauti ya Almasi na Kokoto.

3)Wewe na wanaoukushabikia wote ni mapumbavu.

4) Kumkosoa H.E, ni kumchafua? Hivi kuna mtu mwenye akili timamu na nia njema ambaye anaweza kuwa na kichwa hai akasema "kukosowa kiongozi ni kuhujumiwa? Hivi wewe una akili kweli wewe? Kwamba viongozi wasikosolewe, wakikosolewa maana yake wanahujumiwa? Pumbavu kweli kweli.

5) Kama wewe siyo lipumbavu, andika hapa hizo legacy unazoziita ni za kipumbavu, zilizooza ambazo unaziona hazitakiwi katika nchi. Ukishindwakuandika, uombe radhi, na usipofanya hivyo, wewe na hao watakaokushadadia katika chuki na tabia za kishetani.

6) Nchi na amani yake inalindwa kwa chuki binafsi na ujinga wa kutokutambua hata tuzo za taifa? Amani ya nchi inalindwa kwa kutokutambua hata mambo mema ambayo tumeyazoea miaka yote ya kuishi kwa kuheshimiana, na kukosoana bila kukosana, kupingana bila kupigana, kutafaharishiana bila kufedheheshana, na kupongeza mema, huku tukiyapinga maovu? Leo unataka viongozi wakitawala wasikosolewe eti wakikosoa wanahujumu!. Wewe ni lipumbavu sana. eti wanalipa watu, kama umeona wanalipa si uende takukuru utoe taarifa?

7) Ondoeni magenge yenu ya kipumbavu hapa na maagenda yenu yaliyobuma, yasiyo na macho. Sisi tunashirikiana na rais wetu Samia Suluhu Hassan. Tunampenda, tunamwombea nguvu na afya zaidi, maarifa zaidi na hekima zaidi.

8) Wewe na wapumbavu wenzio ndio mnaotaka kuligawa taifa kwa kuleta mambo tusiyoyazoea. Ondoeni upumbavu wenu hapa, Watanzania tunaenzi umoja wetu, na tuko na mama kwa kila hali tukiendelea na kazi. Kazi za maendeleo z inaendelea. Kama wewe hutaki kupata umeme imara wa bwawaletu kubwa la kimataifa, usiunganishe kwako, tumia vibatari. Pumbavu.

- Kama hutaki shule zisizokuwa na ada, nenda kachangie maendeleo au kalisha mitotot yako nyumbani.
-Kama hutaki kupita kwenye flyovers, unataka misongamano katika miji, na barabara za mashimo, kakae na nguchiro wenzako porini, sisi tunasonga mbele.

- Kama hutaki falsafa ya independent Africa, kwa kuwa bichwa lako halina uvumbuzi wowote, tengenza kaburi ukaishi huko, maana hata kuwenda kuishi ulaya huna sifa wala ubavu.

- Kama unataka Serikali kuwe na watumishi hewa na wasiosifa, wanaoajiriwa kwa vibendera, huku utoro, uzembe na rushwa na njoo kesho, hakuna uwajibikaji na badala yake umangi meza maofisini urejee, kwa kuwa hujui maana wala thamani yake, Watanzania tumeona kwa macho. Wewe kunywa sumu ufe. Sisi tunaendelea na mama. Na mtawajibishwa tu, hatutaruhusu ubabaishaji ujirudie tena.

- Kama unataka raslimali zetu ziendelee kuibiwa na wageni kwa michongo ya genge lako la watu wasio na utu wanaofurahia vifo na kutokujali utaifa na hvho kuuza nchi kwa wageni, kumbuka Mungu hayuko upande wenu.

Mnataka kusharmirisha mikataba hewa na biashara za madawa ya kulevya huku mkiiweka nchi chini ya utumwa, siyo leo. Tumeshasonga mbele na tunasonga mbele na mama.
KAMA KASI YAKE INAWASHINDA, FUNGENI MAKOPO YENU AMA MHAME NCHI. SISI NA MAMA YETU H.E. SSH, TUNASONGA MBELE NA ACHENI KUMTAFUTIA MAMA KAZI AMBAZO HAZINA MAANA. Msitake kutuanzishia vita vya kikabila kwa upumbvu wenu na magenge yenu ya kijinga hapa.

THINK BIG

 
Aisee, hili jamaa lipumbavu hallo. Nimempa muda aombe radhi kwa baadhi ya mambo aliyoyaandika hapa maana ni upumbavu na ni hatari kwa taifa. Anajifanya kutetea mama lakini nyuma yake kuna nia chafu tena ya kipumbavu sana . Huwezi kuwazuia watu wasikosoe viongozi eti wakikosoa wanamchafua ama kumhujumu. Aisee, hli jamaa lipumbavu halo. Badala ya kuto amaoni namna gani watu washikamane na kupiga kazi kwa maslahi ya taifa, liaanza kunanga miraji aliyoiasisi rais JPM, ambayo dunina nzima ina admire. Eti legacy ya JPM zisilindwe kwa kuwa n i white elephants. Mijamaa hiii inaonekana ni pimbi, imezowea kukaa kwenye mashimo na hivyo dunia ya kistaarabu na miundo mbinu kwayo haina thamani. Pumbavu kweli kweli.
Akili kama hizi, ni za kiupumbavu sana.

TUNAPASHWA KUMWOMBEA RAIS WETU NA NCHI YETU ILI YALE MAZURI ALIYOYAKUTA AMBAYO WATANGULIZI WAKE WALIYAASISI, AYAENDELEZE, AYAKAMILISHE NA KUONGEZA MENGINE. Hii mijitu ni mipumbavu kweli kwlei kwlei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…