mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
HahaahahahahaNenda Kisongo kumsalimia mumeo jambazi Sabaya,usisahau kumpelekea vilainishi,maana anateseka kweli machalii wanabutua kijelajela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahahahahaNenda Kisongo kumsalimia mumeo jambazi Sabaya,usisahau kumpelekea vilainishi,maana anateseka kweli machalii wanabutua kijelajela.
ZilipendwaMfadhili wao huyu hapaView attachment 1814208
Na ujambazi umerudi , tunateka mabasi na malori ya mizigo.Mpaka sasamama amefanya kazi nzuri sana, Utu, uhuru, hekima vimeanza kutamalaki katika nchi na duru za uongozi
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.
Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.
Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.
Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.
Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa Kimarekani.
Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.
Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.
Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni.
Foolish, spend your time on Chadema, make sure you strengthen the party and you participate to mobilise of Members. That will help you otherwise you will loose big 2025. Akili ya Jamhuri ya twitter. Upotoshaji na utoto mwingi.Nenda Kisongo kumsalimia mumeo jambazi Sabaya,usisahau kumpelekea vilainishi,maana anateseka kweli machalii wanabutua kijelajela.
Kumbe ni dalali, uwiíiiii😜
Wakati wao wakiendelea na propaganda wakiofaidika kipindi cha jiwe nawewe ndo unaanza propaganda unaofaidika katika awamu ya Jumong sio?
Kazj iendelee mkuu!Ndiyo Mkuu ni Dalali ,nachoma Mkaa also ni fundi ujenzi....what more can i say??
Mama si muda mrefu Urais utamshinda. Urais sio mchezo eti kisa tu ulikiwa Makamu ndio uwe Rais mzuri. Atatukamata wengi. Atatuhoji wengi, lakini hiyo haimaanishi ndio kuwa Rais mzuri.Mfadhili wao huyu hapaView attachment 1814208
Kingereza hakiwezi kukusaidia kuondoa ujinga kichwani mwakoFoolish, spend your time on Chadema, make sure you strengthen the party and you participate to mobilise of Members. That will help you otherwise you will loose big 2025. Akili ya Jamhuri ya twitter. Upotoshaji na utoto mwingi.
Nina mambo kadhaa hapa:-Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.
Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na bwana mmoja hivi ambaye kwasasa yupo gizani huko anapata mateso makali.
Kiukweli hili genge ndo wanamiliki na kufadhili na kujaza watu ambao humu kazi yao ni kumkosoa na kumshushia heshima rais wetu kipenzi cha mioyo yetu mheshimiwa mama Samia Suluhu.
Cha kusikitisha wanawalipa hadi watu huko instagram na fb ili waendelee kumkosoa na kumuhujumu mama kwa kila hali.
Mfano mdogo tu, wamefanikiwa kuwashawishi baadhi ya watu maarufu kutokea kanda fulani hivi kwa kuwabrainwash na kuwajaza ujinga kwamba wanatakiwa wapambane wao wahakikishe wanaendeleza ajenda zao chafu hadi humu JF wapo sampo zao kama yule baby wa Kimarekani.
Nataka niwahakikishie ndugu zangu kwamba hilo genge wanajichosha tu na wamecherewa kweri kweri yaani maana tz sio rwanda au burundi ambapo uhutu na utusi umegawa watu hii ni nchi ya watu kutoka makabila 120 yanayoishi kwa pamoja kwa upendo.
Hatutoruhusu nchi igawanywe kwa misingi ya ukabila na ukanda kwa kwa kisingizio cha kulinda legacy za kipumbavu na za kipuuzi ambazo ni legacy zilizokufa na kuoza na legacy ambazo zinanuka shombo la ukabila na tena ambazo output yake ni white elephant.
Nawapa salamu hilo genge tu kwamba nchi yetu tutailinda kwa gharama zozote iwe uhai au kifo ni jukumu la kila mtu kulinda uhai wa taifa ni niwaambie nyie genge kwamba iwe ni masika au kiangazi tutaumana nanyinyi hadi kieleweke tutapambana nanyi hadi anguko lenu lifike rasmi miaka minne ijayo huku tukilinda sheria kanuni na taratibu za nchi huku tukiuhami utaifa, na uzalendo katika kufutilia mbali hicho kigenge chenu cha kikabila na cha kihuni.
Aisee, hili jamaa lipumbavu hallo. Nimempa muda aombe radhi kwa baadhi ya mambo aliyoyaandika hapa maana ni upumbavu na ni hatari kwa taifa. Anajifanya kutetea mama lakini nyuma yake kuna nia chafu tena ya kipumbavu sana . Huwezi kuwazuia watu wasikosoe viongozi eti wakikosoa wanamchafua ama kumhujumu. Aisee, hli jamaa lipumbavu halo. Badala ya kuto amaoni namna gani watu washikamane na kupiga kazi kwa maslahi ya taifa, liaanza kunanga miraji aliyoiasisi rais JPM, ambayo dunina nzima ina admire. Eti legacy ya JPM zisilindwe kwa kuwa n i white elephants. Mijamaa hiii inaonekana ni pimbi, imezowea kukaa kwenye mashimo na hivyo dunia ya kistaarabu na miundo mbinu kwayo haina thamani. Pumbavu kweli kweli.Wewe mwenyewe umejaa upumbavu tu, mara unasema yuko gizani kwa hiyo wewe ni MUNGU unayeweza kumhukumu mtu aende kenye giza ama kwenye mwanga, unajitwika uzalendo uchara acha kuwapangia watu cha kufanya ndo maana hata Rais Samia kasema watu wawe na uhuru wa kutoa mawazo yao. Unajifanya kumuunga mkono mama wakati huo ukiwataka watu wawaze kama wewe. Hivi wewe ni nani? Mwache Magufuli apumzike na mwache mama Samia afanye kazi .