ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA"
Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na
ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa
akiimba wimbo wake kwa kiitikio cha "Piga Makofi" ambao aliubadilisha wa Run-D.M.C. Clap Your Hands, lakini hajaurekodi.
Kwa kuenzi uwepo wa Fresh na mchango wake katika tasnia, Professor Jay akatengeneza wimbo wa Piga Makofi kwa kutumia kiitikio kilekile cha Fresh kisha kutaja hazina kubwa ya wasaniii walioanzisha hip hop ya Tanzania.
1. Young Millionaire
2. Conway Francis
3. Mawingu Band lakabu the Clouds - ilikuwa
bendi iliyotamba na wimbo wa "Oya Msela"
wimbo ambao unatoka katika albamu yao ya
mwaka wa 1994,
Kundi la Kwanza Unit - miongoni mwa makundi ya kwanza kabisa katika hip hop ya Tanzania.
Kiufupi, KU ndiyo kundi la kwanza kuundwa katika tasinia nzima ya muziki wa hip hop ya Tanzania. Kuundwa kwa kundi ni juhudi kubwa na za dhati kutoka kwa Zavara Mponjika na hayati Nigga One.
Kabla ya muungano, kulikuwa na mabifu kibao yasomana na ilibidi waungane li kuondoa mabifu na kukuza muziki kwenda kiwango kingine. Kuungana kwao, kulifanikisha mambo mengi kama wasanii Waasisi wa rap ya Tanzania.
Hard Blasters - kundi ambalo hutazamiwa kuleta mabadiliko katika muziki wa hip hop ya Tanzania.
Da Young Mob - kundi ambalo II Proud alipanda nalo katika kinyang'anyiro cha Yo
Rap Bonanza mwaka 1993/94.
Deplowmatz - Wakati illa ambae alikuwa ni sehemu ya maproducer katika studio ya " Mawingu studio " Enzi hizo kwa ushauri zaidi.
Muda mfupi baadae wakarekodi nyimbo zao mbili za kwanza "Turuke kwa Furaha" na
"Word is Born".
1.Wagumu Weusi Asilia lakabu W.W.A
2.Black Houndz
3.Bantu Pound
4. Niggaz with Power (NWP)
5. Full Soldiers
6. Rough Niggaz
7. Kibo Flava
8. The Mac Mooger
9. Mabaga Fresh
10. KNT Squad
11. Msanii Ras Pompidue
Msanii Saleh Jabir ni msanii wa kwanza wa hip hop ya Tanzania kurekodi na kusambaza kazi zake.
Japo mwenyewe hakuonesha kutaka ksambaza kazi zile bali alikuta tayari mzigo uko sokoni na baadaye kukamia ili apate chochote kitu.
Inaaminika ndiye hasa aliyeanzisha kurap kwa Kiswahili, hasa kwa kufuatia shindano la Yo Rap Bonanza la mwaka 1992 na kuibuka mshindi. Saleh Jabri hutazamika kama ndiye chachu aliyesabisha wasanii wengine wa muziki wa hip hop ya Tanzania kuuanza kuimba kwa Kiswahili.
Kabla ya Saleh J kushiriki kwenye tamasha la Yo Rap Bonanza, lugha kuu ilikuwa Kiingereza, lakini Saleh alitumia Kiswahili katika tungo zake.
Hasa alifanya kunakili nyimbo za Kimarekani, kama vile Ice Ice Baby ya Vanilla ice na kuimba kwa Kiswahili.
1.Sos B
2.Niggaz 2 Public
3. Xplastaz
4. Underground Souls
5. Ugly Faces - Hawa walikuwa wasela waliotambushwa wa Sindila Assey wa Mawingu Band na walifanya balaa zito kaktika mazoezi yao.
Ndani yake anakuna Mac D, DJ Rich Maka na Eazy Daz. Kwa pamoja wakafanya ngoma moja na Bonny Luv iliyokwenda kwa jina la " Wapambe Nuksi " mnamo mwaka 1997.
1. Big Dogg Pose
2. GWM
3. L.W.P
4. Afro Reign
5. Pyscho Tak
5. Msanii 2Proud
No name - kundi ambalo P Funk alikuwa mwanachama wao na Mchizi Karabani.
1. King Crazy GK
2. Gangwe Mobb
3. Hashim Dogo
4. Bugsy Malone
5. Kool X
6. Cool Moe Cee
7. Big Money
Krewz Flava - miaka ya 1990 walihesabiwa kama akina Boyz II Men ya Tanzania. Lilikuwa kundi la mwanzo kabisa nchini Tanzania kuimba muziki wa R&B.
1. Da Unique Sisters
2. E Attack
3. Juma Nature
4. Hardcore Unit
5. Imeditation Kingdom
6. Fun with Sense
7. Solo thang
8. Mack Malik aka Mac 2 B
Wasanii hao walishiriki vilivyo katika kuunda
muziki wa hip hop nchini Tanzania.