Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 May 1, 2024 #1 Your browser is not able to display this video. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amepokea misaada ya waathirika 4166 ambayo imetolewa na Serikali pamoja na Wadau wa maendeleo. Naye, Katibu tawala wa mkoa huo, Albert Msovela amesema misaada hiyo ina gharama ya jumla ya sh milioni 113. Ikumbukwe kuwa mwezi uliopita naadhi ya maeneo ya mkoa huo yalikumbwa na mvua kali iliyosababisha mafuriko na wananchi kupata adha ya mafuriko hayo.
Your browser is not able to display this video. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amepokea misaada ya waathirika 4166 ambayo imetolewa na Serikali pamoja na Wadau wa maendeleo. Naye, Katibu tawala wa mkoa huo, Albert Msovela amesema misaada hiyo ina gharama ya jumla ya sh milioni 113. Ikumbukwe kuwa mwezi uliopita naadhi ya maeneo ya mkoa huo yalikumbwa na mvua kali iliyosababisha mafuriko na wananchi kupata adha ya mafuriko hayo.