The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Na wewe kabisa unaamini jengo halina mwenyewe?Kama mwenye jengo Hadi Leo hajulikani na wala hajashtakiwa hawa jamaa watapata Msaada gani?
Aliyekuwa anapokea kodi ndiye tutaanza nae.Kama mwenye jengo Hadi Leo hajulikani na wala hajashtakiwa hawa jamaa watapata Msaada gani?
Huna logic, unaweza kupangishwa na kishoka tu.Aliyekuwa anapokea kodi ndiye tutaanza nae.
Acha tusubiri tuone itakuajeNa wewe kabisa unaamini jengo halina mwenyewe?
Ni Tanzania tu unaweza kuokota vichwa vya treni bandarini, na kuokota gari Noah Tegeta.
Waliofunguwa kesi hawawezi kufunguwa kesi bila kuwepo mlalamikiwa.
Complainant vs Defendant, hapa lazima yawepo majina ya pande zote mbili au kampuni zao.
Naona umekurupuka tu kunijibu. Unajua utaratibu uliokua unatumika kwenye hiyo ghorofa? Unajua makato na kodi ya majengo zinavyolipwa?Huna logic, unaweza kupangishwa na kishoka tu.
Hapa tunadeal na fact na hivi ndio vitu vya kujifunza tusifanye mambo kienyeji.
Ndio maana mtu ananunua kwa mtu haki ya kuwa mpangaji wa NHC kwa pesa nyingi anakwenda NHC linawekwa jina lake badala ya kukaa sehemu unamlipa mtu badala ya kulipa shirika uwe mpangaji unayetambuliwa na NHC.
Kwa nini usieleze hapa huo utaratibu badala ya kukata viuno tu?Naona umekurupuka tu kunijibu. Unajua utaratibu uliokua unatumika kwenye hiyo ghorofa? Unajua makato na kodi ya majengo zinavyolipwa?
Acha shobo na kujifanya kimbelembele.