Trendz
Senior Member
- Jun 27, 2021
- 125
- 183
Habarini,
Nina kiproject kidogo cha kujenga nyumba ya kujihifadhi familia ikiwa na kitu cha kufanyika mkoani Dar Es Salaam.
Ni vyumba viwili upande wa kiume na upande wa kike tu, upande wa kike kuna master, upande kiumeni hakuna. Watatumia public toilet hahaha
Kiwanja kipo sehemu ya udongo mfinyanzi mweusi imebidi tupige msingi wa kozi 5 na mkanda, shughuli imeanzia hapa katika mkanda kuazima mbao zakufungia ni changamoto sana, wenye mbao sasa wanakata vipande vya mita 1 kwa kuvitoa kwa Tsh 1500 kimoja huu ni ubadhirifu kabisa
Sasa tumetumia njia ya kiswahili kuzungusha mkanda kwa kupanga tofali hahaha
Naomba ushauri ikifika usawa wa kupiga lintel(linta) nifanye nini ??
Naweka picha chini kuonyesha tulivyoseti mkanda wa chini.
Asanteni in Advance [emoji1666]