Waazimishaji vifaa vya ujenzi ni changamoto

Trendz

Senior Member
Joined
Jun 27, 2021
Posts
125
Reaction score
183
Habarini,

Nina kiproject kidogo cha kujenga nyumba ya kujihifadhi familia ikiwa na kitu cha kufanyika mkoani Dar Es Salaam.

Ni vyumba viwili upande wa kiume na upande wa kike tu, upande wa kike kuna master, upande kiumeni hakuna. Watatumia public toilet hahaha

Kiwanja kipo sehemu ya udongo mfinyanzi mweusi imebidi tupige msingi wa kozi 5 na mkanda, shughuli imeanzia hapa katika mkanda kuazima mbao zakufungia ni changamoto sana, wenye mbao sasa wanakata vipande vya mita 1 kwa kuvitoa kwa Tsh 1500 kimoja huu ni ubadhirifu kabisa

Sasa tumetumia njia ya kiswahili kuzungusha mkanda kwa kupanga tofali hahaha

Naomba ushauri ikifika usawa wa kupiga lintel(linta) nifanye nini ??

Naweka picha chini kuonyesha tulivyoseti mkanda wa chini.

IMG_2185.jpg

IMG_2184.jpg

IMG_2183.jpg

IMG_2182.jpg

IMG_2181.jpg

IMG_2180.jpg

Asanteni in Advance [emoji1666]
 
View attachment 1953466
View attachment 1953467
View attachment 1953468
View attachment 1953469
View attachment 1953470
View attachment 1953471

Asanteni in Advance [emoji1666]
Mkuu Hongera kwa Kujenga kadri ya uwezo wako na kutojikweza hapa JF. All the best, ungekuwa pande za Kigoma ningekuazima Mbao mwanzo mwisho lkn kama unawwza ungesema uko Mkoa upi ili wadau wakuazime Mbao.
 
Shukran sana [emoji1666][emoji1666]
Location ya project: Kibaha Maili moja
 
Sawa hapo umekea tofali, je mkanda wa juu utaweka nini?
Wenzio hukodi mbao nzima na kisha kuziweka maeneo zinapotosha, ile sehemu inayohitaji vipande unanunua mbao nzima unakata vipande, ambapo hivyo vipande vitakusaidia hata baadae kwenye kufunikia shimo la choo.
 
Back
Top Bottom