Wababa/kaka hivi ni kweli

Huyo wa wapi anakutana na demu kwa mara kwanza asiandamane na valuu chupa tatu?

Hahaha aliona mpaka aanze kunywa valuu amalize anachelewa na mdada anaweza ghairi, ukizingatia alishamzungusha sana
 
Hahaha aliona mpaka aanze kunywa valuu amalize anachelewa na mdada anaweza ghairi, ukizingatia alishamzungusha sana

Kumbe hajui utaratibu. Kwa kawaida ni bora mtu ukose spana kwenye gari yako, lakini sio walau chupa mbili za valuu...
 
Daaaah
Ila wewe Gaga ni noumer
Eti unamchapa vibao viwili vya makalio, then una . . . . .

Ila huu mkwara wa huyu mdada naona alishamsoma huyu jamaa kitambo. Akajua ukimpiga "Hard Voice" anashuka na kuwa kiberiti.
Ila wee Maty usije ukajaribu hii, wengine hatutishiwagi kwa nyau . . . . hehhe heheheh
Ngoja nimsimulie jamaa yangu hii story sasa hivi
Nakuja . . . . .
 
Ndio maana unatakiwa usijiachie sana usomeke kirahisi na waharibifu kama hawa
 
Ndio maana unatakiwa usijiachie sana usomeke kirahisi na waharibifu kama hawa

Yaani wewe huwa unaniacha hoi kweli na michango yako, unanifanya nitake kukujua ukoje japo kwa sura tu.
Maana, hii sio mara ya kwanza . . . .
 
Yaani wewe huwa unaniacha hoi kweli na michango yako, unanifanya nitake kukujua ukoje japo kwa sura tu.
Maana, hii sio mara ya kwanza . . . .
Nalipukaga wakati mwingine ila najua limits zangu, hivi hata mie huwa natamani kuwaona baadhi ya watu kwa sura ila ndio hivo tena
 
Nalipukaga wakati mwingine ila najua limits zangu, hivi hata mie huwa natamani kuwaona baadhi ya watu kwa sura ila ndio hivo tena

Basi unalipuka kwa akili sana.
Nakuombea uendelee kulipuka namna hii maana unatufundisha hata sisi wanaume mambo ambayo hatukutegemea kufundishwa na mwanamke
 
Basi unalipuka kwa akili sana.
Nakuombea uendelee kulipuka namna hii maana unatufundisha hata sisi wanaume mambo ambayo hatukutegemea kufundishwa na mwanamke
Usijali muda wowote mkuu
 
Reactions: CPU

Hahahaha nimeona asee siwezi thubutu hii makitu lol, maana hata gaga kaongeza ujuzi mwingine hapo eti unamchapa vibao ila gaga kila nikikumbuka ile post nimecheka w/end nzima
 
Reactions: CPU
Hahahaha nimeona asee siwezi thubutu hii makitu lol, maana hata gaga kaongeza ujuzi mwingine hapo eti unamchapa vibao ila gaga kila nikikumbuka ile post nimecheka w/end nzima

Kila nikianza kumfikiria Gaga alivyo sipati picha. Sijui yukoje.
Yeye anadai anaropoka, lakin kumbe anatufundisha sisi wengine . . . . Heeee!
Sijui kama nitakuja kujuta kuingia JF, especially MMU.

Yaani Maty ukirogwa uje kumjaribu CPU kwa hiyo aliyoshindwa huyo sharobaro, HAKYA NANI TENA naanza kwa mbinu ya Gaga
Chapa vibao viwili vitatu kwanza . . . . lolz
 
Mhhh,

Hizi story huwa unazitoa wapi?....Haya bwana, ngoja babu aendelee kusubiri kisa kingine!!
 
Utakumbuka mkuu? Ndo maana hata coaching ina limits zake!!
 
Utakumbuka mkuu? Ndo maana hata coaching ina limits zake!!

Hapo sasa!!
Yaani Babu hapa itabidi nifanye juhudi nimpate Gaga ani-coach full course!
La sivyo, utasikia CPU anaambia " Wewe si unajifanya Processor, kuja hapa chomeka tuone"
Mara unashangaa CPU ina stack ghafla, then baada ya muda mfupi tena Computer nzima ina shutdown
 
Tena afadhali ikitokea hivyo lakini ukaokoa data...Nahofia unaweza kupoteza kila kitu kwani autosave nayo inaweza kuwa kimeo!
 
Gaga si huyo hapo kwa avatar? au unamuona fake?
 
Nakwambia nitakukomesha mpaka computer iingie virus hiyo
 
Tena afadhali ikitokea hivyo lakini ukaokoa data...Nahofia unaweza kupoteza kila kitu kwani autosave nayo inaweza kuwa kimeo!

Kweli Babu
Si wote wavaa makoti meupe ni madaktari, wengine ni wauza nyama tu
 
inawezekana huyo dada alitumia nguvu za giza hata hivyo,wale masharp ambao wewe unawaita viwembe hukutana na mambo mengi,wakati fulani hutongoza hata majini bila kujijua.
 
yani sis huyu ndo powa dadake,ile yunifomu huitoi yote ile,inapandishwa tu kwa juu na mabuti yake vilevile,kishati tu cha juu ndo unafungua vifungo afu unapiga game la kutisha mbaya!!huku unasikiliia tu sauti yake ya mkwara wa ki-afande inavo-change toka kuwa kavu hadi kuwa nyororooooo!the best thing ni kwamba kupigwa mkwara kwa sauti ya hivi kunaongea munkari aidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…