Wababa..kina kaka...wajomba...waume....wapenzi na marafiki!!!!

dah nilikuwa nimenuna asubuhi hiii (msiniulize kwa nini ndo ivo) lakini nimesoma hii post ya Lizzy, am blessed and I am now smiling....good Lizzy

Dah nimefurahi kweli kukufanya utabasamu!!!!!
 
Hapo kwenye red, ndio mimi nawachoka tu..... kwingine kote sitakuchoka kamwe......
 
dah nilikuwa nimenuna asubuhi hiii (msiniulize kwa nini ndo ivo) lakini nimesoma hii post ya Lizzy, am blessed and I am now smiling....good Lizzy

Mie sikuulizi kwanini umenuna ila ni tabia mbaya sana mwanaume kununa tena asubuhi subuhi acha hizo bana
 
Hahahahha!!!Mwache jamani.....mbona sisi tunanunaga wiki!!!
 
Thanks lizzy kwa kutuwakilisha mama, hapo pa muda wa bar watupunguzie kidogo na sisi nimepapenda sana hatuaambii muache ila mpungudhe kidogo tu. Kaizer kwani huwa unanunaga dear?
 
Heheheh tusije tukawaambia waache wakahamia kabisa!!
Happy birthday dear!!!
 
Tukizungumza kibiblia umefit mno, kiuchumi, kisaikolojia, kihistoria n.k.
Kama unaprctice haya basi unabusara and lucky is your man.
Asante.
 
Hahahaaaaaaa umeona eeeeeee wakiambiwa acha ndio umemtuma lol. Hebu kula hii

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Maty (Today)​
 
Asante kwa kutambua na kuwakumbusha akina mama wengine kuliona jambo jema kama hili.
 
Tukizungumza kibiblia umefit mno, kiuchumi, kisaikolojia, kihistoria n.k.
Kama unaprctice haya basi unabusara and lucky is your man.
Asante.

Asantee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…