The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Someone,somewhere is watchingMh kikubwa tu basi?Haya ngoja tukifanye kidogo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Someone,somewhere is watchingMh kikubwa tu basi?Haya ngoja tukifanye kidogo!
Ahaaa ahaaa orait orait haujui mafumbo yana raha yake banaaSipendi mafumbo ujue Fynest!!!!NiPM tatizo uone kama haliishi sasa hivi!!
Hapo kwenye red, ndio mimi nawachoka tu..... kwingine kote sitakuchoka kamwe......Kina dada tumezidi kulalamika kuhusu kaka/baba/waume/wapenzi wetu....kwanzia majumbani mpaka hapa jamvini!!Ohh mnatusema vibaya...hamtujali...hamtuheshimu and so so.....
Ila tukiacha mabaya tunayoyaona kirahisi kuna mazuri mengi sana mnayotufanyia!!
Tunawashukuru kwa:
...kutupenda sana hata tunapokua hatueleweki!!
...Kutununulia vocha hata kama hatuwapigii!!
...Kutupigia wakati sisi tunabeep tu!!
...Kutusifia hata tusiposhukuru!!
...Kutujali hata tunapozidisha malalamiko!!
...Kutushukuru hata tusipostahili!!
...Kutuamini hata tunapokosa uaminifu!!
...Kutulinda hata tunapogombania usawa!
...Kutubariki na uwepo wenu hata tunapojifanya hatuwahitaji!
...Kutuvumilia hata tunapokua wakorofi!
...Kutuelimisha hata tunapokua wabishi na vichwa ngumu!
...Kutufurahisha hata tunapowaponda!!
...Kutudekeza kama watoto!!
...Kutubembeleza!!
n.k
All in all asanteni sana kwa kua na sisi hapa jamvini pia majumbani!!!Kama ambavyo ingekua ngumu kwa nyie kuishi bila sisi pamoja na kero zetu ndivyo ambavyo hata sisi hatutaki kuishi bila nyie!!!Mbarikiwe ili mzidi kua na sisi!!!
Kwa niaba ya wadada na wamama wenzangu TUNAWAPENDA SANA ila mpunguze muda mnaokaa bar mtugawie na sisi!!!!
We love you....:A S-heart-2:ALWAYS!!!!:busu
Kwa hisani ya KLORO......
dah nilikuwa nimenuna asubuhi hiii (msiniulize kwa nini ndo ivo) lakini nimesoma hii post ya Lizzy, am blessed and I am now smiling....good Lizzy
Thanks lizzy kwa kutuwakilisha mama, hapo pa muda wa bar watupunguzie kidogo na sisi nimepapenda sana hatuaambii muache ila mpungudhe kidogo tu. Kaizer kwani huwa unanunaga dear?
hebu sema basi vizuri apo...
bakisha na cha kesho.Ahaaa ahaaaa
Kina dada tumezidi kulalamika kuhusu kaka/baba/waume/wapenzi wetu....kwanzia majumbani mpaka hapa jamvini!!Ohh mnatusema vibaya...hamtujali...hamtuheshimu and so so.....
Ila tukiacha mabaya tunayoyaona kirahisi kuna mazuri mengi sana mnayotufanyia!!
Tunawashukuru kwa:
...kutupenda sana hata tunapokua hatueleweki!!
...Kutununulia vocha hata kama hatuwapigii!!
...Kutupigia wakati sisi tunabeep tu!!
...Kutusifia hata tusiposhukuru!!
...Kutujali hata tunapozidisha malalamiko!!
...Kutushukuru hata tusipostahili!!
...Kutuamini hata tunapokosa uaminifu!!
...Kutulinda hata tunapogombania usawa!
...Kutubariki na uwepo wenu hata tunapojifanya hatuwahitaji!
...Kutuvumilia hata tunapokua wakorofi!
...Kutuelimisha hata tunapokua wabishi na vichwa ngumu!
...Kutufurahisha hata tunapowaponda!!
...Kutudekeza kama watoto!!
...Kutubembeleza!!
n.k
All in all asanteni sana kwa kua na sisi hapa jamvini pia majumbani!!!Kama ambavyo ingekua ngumu kwa nyie kuishi bila sisi pamoja na kero zetu ndivyo ambavyo hata sisi hatutaki kuishi bila nyie!!!Mbarikiwe ili mzidi kua na sisi!!!
Kwa niaba ya wadada na wamama wenzangu TUNAWAPENDA SANA ila mpunguze muda mnaokaa bar mtugawie na sisi!!!!
We love you....:A S-heart-2:ALWAYS!!!!:busu
Kwa hisani ya KLORO......
i miss u so much dear!Asante kwa kutambua na kuwakumbusha akina mama wengine kuliona jambo jema kama hili.