Wababa wanaotembea na mabinti zao...!

Wababa wanaotembea na mabinti zao...!

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
hivi hii habari ya baadhi ya wazazi wa kiume
kutembea na mabinti zao ikoje?
hivi ni kweli siku hizi imeenea sana au
ni hisia tu....

maaana siku hizi kila mahali unasikia habar hizo....

nini hasa chanzo?
kuna makabila nasikia ndio yanasifika sana....

kuna mtu hapa jf alie wahi thibitisha habari hizo
au porojo za watu tu???????????????
 
Kwa "kutembea" unamaanisha kulala naye (binti yako) kimapenzi?

Kama ndio hivyo basi huo ni ugonjwa. Ni incest. Kwanza sielewi kwa nini mwanao wa kumzaa mwenyewe akuvutie kimapenzi. Yaani ni ugonjwa hasa na tiba yake ni kupelekwa na kufungiwa sehemu na ma sexual predator wenzako. Watu wa hivi hawafai kuishi na jamii.
 
kuna binti udsm niliambiwa anatembea na babake
mbaya zaidi wanasema mzee anaugua ukimwi na binti
anaweweseka..........

nilishindwa pata picha............
 
binafsi huwa najiuliza is it possible?
au watu wanazusha???????
 
hivi hii habari ya baadhi ya wazazi wa kiume
kutembea na mabinti zao ikoje?
hivi ni kweli siku hizi imeenea sana au
ni hisia tu....

maaana siku hizi kila mahali unasikia habar hizo....

nini hasa chanzo?
kuna makabila nasikia ndio yanasifika sana....

kuna mtu hapa jf alie wahi thibitisha habari hizo
au porojo za watu tu???????????????

Ni ushetani tu mtu mwenye akili zako timamu hauwezi fanya hivyo sasa sijui binti akishika mimba huyo mtoto akizaliwa akiishakua mkubwa akaambiwa behind the scene ya tendo lililotokea sijui itakuwaje hii inatia kinyaa kweli, imenikumbusha incident moja kaka na dada wa tumbo moja waliokuwa wanatembea pamoja halafu dada akashika mimba ilikuwa patashika.
 
Ushirikina na nguvu za giza

Psychopaths with do such a thing, Dont forget we are living in the last days, so anything is possible. But, then, this question ought not to arise! that a father will start getting carried away by his daughters luscious apples, and honey pot? Only a mad man and devil incarnate would say yes to sleep with his daughter.
 
Tabia mbovu kwenye jamii zimekuwepo toka enzi na enzi. Incest imekuwepo japo inafichwa.Jamii nyingine kwa kuona kuna practice kama hiyo wamehalalisha kuoana mabinamu/first cousins. Siyo baba tu wenye tabia hizi, wapo kaka na dada, mama na mtoto wa kiume ( japo ni nadra sana.. nimewahi kusikia kesi moja tu yenye uhakika ukiacha rumours)...
Tukirudi kwenye hili la baba na binti, kinachotokea ni ama ushirikina au baba kujiendekeza kwenye tamaa za kimwili na kushindwa kujizuia.Pia mabinti nao wengine hawajiheshimu mbele ya baba zao. Hujiweka kihasara na kuvutia hisia na tamaa mbaya kwa mzazi wa kiume.Ndio maana jamii nyingine mtoto wa kike akishapevuka haruhusiwi kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na baba.Kila kitu kinapitia kwa mama! Siku hizi malezi yako huria zaidi. Baba na binti hucheza rhumba kwa kukumbatiana kwenye mziki, baba na binti huketi sebuleni kuangalia "Shades of Sins" na tamthiliya nyingine - shetani naye hufanya kazi yake barabara!Pamoja na yote hayo, bado hatumpi baba kibali cha kujiendekeza!
 
wos hiyo ya mama na mtoto duh??
hivi watu wa aina hii hawapati laana?
 
ni laana na ukosefu wa maadili na kukosa akili timamu ni meyaona yapo nimwewai kuelezea hapaa kisa cha kweeli kabisa
 
Ni ushetani tu mtu mwenye akili zako timamu hauwezi fanya hivyo sasa sijui binti akishika mimba huyo mtoto akizaliwa akiishakua mkubwa akaambiwa behind the scene ya tendo lililotokea sijui itakuwaje hii inatia kinyaa kweli, imenikumbusha incident moja kaka na dada wa tumbo moja waliokuwa wanatembea pamoja halafu dada akashika mimba ilikuwa patashika.
kama baba na bintiye wa damu wakizaa mtoto hata kukuwa kwake kunakuwa kwa taabu kibaiolojia si sahihi ndio maana hata wanyama kama ng'ombe wakati wa kupandisha hawachukui watoto wa jike au wale waliozaliwa na mama mmoja uwa wanaenda kuazima dume mbali kabisa kuepuka hii kitu
 
kuna binti udsm niliambiwa anatembea na babake
mbaya zaidi wanasema mzee anaugua ukimwi na binti
anaweweseka..........

nilishindwa pata picha............

Binti alishakufa...mama naye kafa....Baba kwa sasa yuko keko ana kesi ya mambo ya maghorofa fulani ya umma....ila inadaiwa serikali imemtuliza kutokana na mradi wake wa kueneza ukimwi kwa makusudi kwa mabinti zetu wenye kiherehere na magari ya rangi maroon aliyokuwa anawapa
 
wos hiyo ya mama na mtoto duh??
hivi watu wa aina hii hawapati laana?

Boss wewe yasikie tu siku ukibahatika ukaona mambo ambayo yanaongelewa hapa utasema when will JESUS come back and most of the times inakuwa ni ushirikina i wonder if they really enjoy when they are in bed :confused2:
 
hatari kweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeli!!!!!!!!!
mnaitana babalavu na mama km anadate na son anaitwa mamlav.
laaana zaid ya laana yenyewe.
 
ooh my God forbid......
Hata kama wanasema wanaume ni viumbe dhaifu sidhani udhaifu huu unaweza kupelekea kumtamani binti yako uliyemzaa mwenyewe ...Na vitoto vya kileo navyo mara kimepita na kitop kitovu nje, mala kimetoka kuoga na kanga moja ya india kinapita mbele ya baba yake ...
Mungu epusha mbali hili sasa ni gharika maadili yamemomonyoka:confused2:

FL1, hivi vitu vipo na msibishe....

Kuna jamaa wawili nawafahamu, prominent people, watulivu sana ukiwaona kwa nje, lakini wanatembea na binti zao... mmoja wa hawa amezaa na binti yake... so msibishe... ni ugonjwa
 
Heeeeeee kuku na mayai yake walaaa tuuu! Hi ni aibu na zaidi ya laana yaani mnakatikiana viungo baba na mwana! na Mwana anajua fika hii ni mali anayotumia mama duh! Mola tuepushe na haya:mad2::mad2::mad2::mad2:
 
Back
Top Bottom