Kama wanaona hali ni ngumu wanatakiwa kutoa nyombo kutokana na hali ya ilivyo nchini?. Wenye vinyimbo vya mapenzi wanatakiwa wajipange. Watoe ngoma Kali na za kuvutia. Tofauti na hapo wataendelea kulialia tuWaache kuliia lia mbona wenzao Nigeria wanatusua tu hivo hivo wakati hakujatulia,?
Mfano wizikid tangu mwezi wa kwanza anaachia ngoma mpya,
January-Dadyo
February-nimesahau
march-sweat love
April-wizkid ft drake jina nimesahau
licha ya uwepo wa boko haramu
Haaaaaahaaaaaaaa we jamaa una akili km mimi asee dume zma et "Dai" na sauti limelegeza watam...*##* shauri yke!Acha kuandika jina la mwanaume mwenzio kwa kudekadeka kama wa kike wewe.