Wabana pua waomba poo kwa Nay wa mitego,Rich Mavoko aanza kulialia

Wabana pua waomba poo kwa Nay wa mitego,Rich Mavoko aanza kulialia

Yani Unakurupuka Unatoa Nyimbo Tuuuu. Mara MaKondakta Kafumwa Na Masogange Protea Hotel...
Au Mara Lissu Au Bashe Katekwa.
 
Waache kuliia lia mbona wenzao Nigeria wanatusua tu hivo hivo wakati hakujatulia,?
Mfano wizikid tangu mwezi wa kwanza anaachia ngoma mpya,
January-Dadyo
February-nimesahau
march-sweat love
April-wizkid ft drake jina nimesahau
licha ya uwepo wa boko haramu
 
Kama wanaona hali ni ngumu wanatakiwa kutoa nyombo kutokana na hali ya ilivyo nchini?. Wenye vinyimbo vya mapenzi wanatakiwa wajipange. Watoe ngoma Kali na za kuvutia. Tofauti na hapo wataendelea kulialia tu
 
Back
Top Bottom