Wabandika Nge kwenye kucha

Wabandika Nge kwenye kucha

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
32,406
Reaction score
55,148
Huko Mexico wanawake wametoa kali kwa kuongeza urembo wa kucha kwa kubandika watoto wa nge.
Nge hao ni aina yenye sumu kali ambayo inaweza kuuwa binadamu kwa dakika 15 lakini sasa wanaweka nge waliokufa baada ya watu 1000 kufa mwaka jana kwa kubandika nge hai.

Dunia haiishi maajabu.
1457510868536.jpg
1457511061336.jpg
 
Back
Top Bottom