Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake .
Mada hapo juu yahusika .
Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa wabangaiza wenzangu, matajiri kaa mbali na andiko hili.
Wabangaizaji wenzangu mpo , popote pale utanikaribisha nitafika iwe ndani ya nchi au nje ya nchi nitakuja.
Dunia ngum sana hii , that's Mungu haonekani maana angekua na mafail mengi kwenye meza yake, wabangaizaji tupendane na kuwa kitu kimoja .thanks