Asalam aleykum
Kama kichwa hapo juu kinavyo jieleza makabila mengi ya kibantu katika utamkaji wao wa maneno huwa hawatamki r. na kiswahili kina msingi wa kibantu watu wengi hawaji hili na wamekuwa wakilaumiwa na kusemwa hasa watu wa daresalaam kuwa hawajui kutofautisha kati ya r na l.
Lakini tujue kwamba hii ni asili. Ata maneno ya kiswahili ya asili ya kibantu yenye r yamekosewa kwamfano nguruwe wabantu wanatamka nguluwe au ngulubwe mkurugenzi ilitakiwa iwe mkulugenzi imara iwe imala nk nasiyo l kama wanavyo tamka wazanzibar au wachaga inatamkwa kati kwa kati kwa kiarabu tuite lam alif.
Kwa kumalizia makabila yanayotamka r na kwa usahihi kama hayana asili ya kutoka pembe ya afrika basi kunamchanganyiko mkubwa na jamii ya kiarabu kama vile wazanzibar