mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Wakuu mnaopiga box majuu Huu ni Uzi wenu...tuna omba mje Ku share experience...na changamoto..
Karibuni sana
Karibuni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuBila shaka ukikutana na Dr slaa utapata experience kubwa sana .
hahaaaa"""Bila shaka ukikutana na Dr slaa utapata experience kubwa sana .
Mbona unacheka mkuuhahaaaa"""
umenikumbusha kuhusu huyo Dr...kutoka kuwa mgombea uraisi mpka kwenda kubeba box canadaMbona unacheka mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]umenikumbusha kuhusu huyo Dr...kutoka kuwa mgombea uraisi mpka kwenda kubeba box canada
Mkuu hebu lete hsbari picha. Si unajua picha moja ni maneno 1000USA baby
Umesahau hadi BALOZI....umenikumbusha kuhusu huyo Dr...kutoka kuwa mgombea uraisi mpka kwenda kubeba box canada
Wenzako wako wap mkuuUSA baby
Wenzako wako wap mkuu
hahaa kweli mkuuUmesahau hadi BALOZI....
Sometimes I just miss organized life...Hapo ndo nilikuwa nimefika kwenye parking lot nikakuta hiyo charging station iko wazi nikaamua kui charge Tesla yangu...S P100 baby!
View attachment 723375
Sometimes I just miss organized life...