Wabeba box majuu ...Huu ni Uzi wenu

Wabeba box majuu ...Huu ni Uzi wenu

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Wakuu mnaopiga box majuu Huu ni Uzi wenu...tuna omba mje Ku share experience...na changamoto..

Karibuni sana
 
Bila shaka ukikutana na Dr slaa utapata experience kubwa sana .
 
umenikumbusha kuhusu huyo Dr...kutoka kuwa mgombea uraisi mpka kwenda kubeba box canada
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu hebu lete hsbari picha. Si unajua picha moja ni maneno 1000

7D98212B-CFA3-40AC-9DF2-309DD9041561.jpeg
 
Hapo ndo nilikuwa nimefika kwenye parking lot nikakuta hiyo charging station iko wazi nikaamua kui charge Tesla yangu...S P100 baby!

092312DB-FF66-4C24-9493-1009A985149F.jpeg
 
Back
Top Bottom