Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa..
Huoni hao ni wana CCM tu.
60B Tshs ziko wapi?
 
Hawa ni wasaniii chipukizi wa Kaole sanaa Group
 
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa...
Walikuwa wanafuatilia zile Hotuba na Misa? Au ile mizinga kwa aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu?

Waulize wenzetu kama walipata fursa ya kuona jeneza la Magufuli likishushwa chini kama tulivyoona kwa Mkapa!

Hivi ilikuwaje mpaka Serikali kuwaambia hata wale waliopo Chato kuwa wafuatilie matangazo ya mazishi Mubashara hali ya kuwa tendo la kuzikwa (kushushwa jeneza) hawakutaka kulionesha?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Maulana Ritz umanipa faraja kubwa sana kukuona hapa Jamvini.
Watoto wa mzazi mmoja wanakuja mbio kufurahia ujio wetu.
Wasameh bure. Hawakuwahi kupata malezi ya baba.

Allah akuongeze umri Ustadh wangu.
Njooni sasa muishike nafasi za kipara kipya na @Wakudadavua maana kutesa kwa zamu
 
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa...
Hiyo caption ya wabeba maboksi 😆😆
 
Walimlilia Magufuli hivi walikuwa wanamfahamu huyu babu hawa?? yaani walitoa machozi yao kumlilia kabisaaaa??
Kwa hawajui Chato kuna 'Air port ya kimataifa!!
Wakodishe ndege wakatuwe Chato wangushe kilio chamaa yani adi machozi yaishe sio hii ya kulia na kungeuka nyuma ya kochi na kucheka!
 
Walimlilia Magufuli hivi walikuwa wanamfahamu huyu babu hawa?? yaani walitoa machozi yao kumlilia kabisaaaa??
Sasa unachokataa nini?inamaana kongoUN,ghana,etc wote walomlilia hawamjui?

Acha chuki binafsi uhalifu wako usifanye watu wote wamchukie Magu?wote wenye kumchukia ni mafisadi na wahalifu hivyo wasingeweza kabisaaa kumpenda aloyewadhibiti.

Na bado
 
Back
Top Bottom