Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Sasa unachokataa nini?inamaana kongoUN,ghana,etc wote walomlilia hawamjui?

Acha chuki binafsi uhalifu wako usifanye watu wote wamchukie Magu?wote wenye kumchukia ni mafisadi na wahalifu hivyo wasingeweza kabisaaa kumpenda aloyewadhibiti.

Na bado
Jamani hata watumishi wa umma wanaomlalamikia kutowajali kwa kipindi chake chote cha uongozi nao ni waalifu?
 
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.

Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wabeba maboksi wote wa Kitanzania duniani kote.

Machi 26 tuliweka chini maboksi kuungana na Watanzania wenzetu kumzika aliyekuwa Rais wetu.

Na nyie wabeba boksi wa USA mtamlilia lini?
 
Walikuwa wanafuatilia zile Hotuba na Misa? Au ile mizinga kwa aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu?

Waulize wenzetu kama walipata fursa ya kuona jeneza la Magufuli likishushwa chini kama tulivyoona kwa Mkapa!

Hivi ilikuwaje mpaka Serikali kuwaambia hata wale waliopo Chato kuwa wafuatilie matangazo ya mazishi Mubashara hali ya kuwa tendo la kuzikwa (kushushwa jeneza) hawakutaka kulionesha?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu Livejr ,sijakuelewa,tafadhali embu tufafanulie siso wengine tulikuwa mbali na nyumbani na mbali na TV.
 
CCM asili/wazawa walipiga kimyaa baada ya genge la kabila fulani kushika hatamu 2015. Sasa naamini asilia wote kama Ritz , Lizaboni , Malaria Sugu , MwanaDiwani , FaizaFoxy , Chris Lukosi , watarudi jukwaani.
Nami narudi rasmi sasa.
Karibu mkuu,mwamba wanamfananisha na Musa aliyewatoa waisrael misri,lakini hakutoboa kufika Canaan, sababu ya ukaidi wake aliambiwa apige mwamba Mara moja ye akachapa Mara mbili.

Nina imani Joshua atatufikisha kwenye katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Kisa ni msukuma mwenzio mayooo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kimeumana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kimeumana

Sukuma gang kwisha habari yao

Dunia hii wanafiki wapo

Refer kipindi cha Jk hawa watu kina Pasco mayala, nyaningabu,gwajima,katambi,..na wote walikua na mtazamo gani lakini after mwendazake kuchukua nchi wakageuka wakawa mbogo kusapoti juhudi kisa mwendazake ni wa kwao huko

Wakawa wanampamba

Hadi rashid akadakwa na vipeperushi vya kuunda sijui nchi yao sijui jeshi .....ukabila mtupu

Sasa hivi kimeumana.....Tanzania ni yetu sasa....tumuunge mkono mama samia ni mkomboz wa taifa

S-gang kimeumana nasema kimeumana..wapi pasco na nyani....

Nasema uongo ndugu zangu
?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.

Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wabeba maboksi wote wa Kitanzania duniani kote.

Machi 26 tuliweka chini maboksi kuungana na Watanzania wenzetu kumzika aliyekuwa Rais wetu.

Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.

Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wabeba maboksi wote wa Kitanzania duniani kote.

Machi 26 tuliweka chini maboksi kuungana na Watanzania wenzetu kumzika aliyekuwa Rais wetu.

Kubeba boksi si ajabu ni kazi kama kazi zengine, lakini hapa imetumika kama dharau dhidi ya diaspora.
 
Kisa ni msukuma mwenzio mayooo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kimeumana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kimeumana

Sukuma gang kwisha habari yao

Dunia hii wanafiki wapo

Refer kipindi cha Jk hawa watu kina Pasco mayala, nyaningabu,gwajima,katambi,..na wote walikua na mtazamo gani lakini after mwendazake kuchukua nchi wakageuka wakawa mbogo kusapoti juhudi kisa mwendazake ni wa kwao huko

Wakawa wanampamba

Hadi rashid akadakwa na vipeperushi vya kuunda sijui nchi yao sijui jeshi .....ukabila mtupu

Sasa hivi kimeumana.....Tanzania ni yetu sasa....tumuunge mkono mama samia ni mkomboz wa taifa

S-gang kimeumana nasema kimeumana..wapi pasco na nyani....

Nasema uongo ndugu zangu
?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sukuma Gang ni genge hatari sana na mfadhili wao ni yule yule askofu Chidi.
 
Back
Top Bottom