Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Duh nitarudi baadaye , mzee sio wote tulioko huku tunabeba boksi tuliokuja kwa minajili maalum huwezi kuoa upuusi tunapiga kazi na bata tunakula na makwetu kuko bien, kama mimi najiandaa kuja kununua mijengo yoote ile aliyoacha jiwe na kukimbilia Dodoma nina kazi nayo sana tu baadaye mtakuja kunielewa
UJINGA NI MZIGO. IS HERI MGEPIGA HATA KITABU. HATA VIATU, VIPODOZI NA USAFIRI WENU WA TRENI MNARINGISHIA WENZENU! Du kama mkimiliki hata pipers ndogo za watu wa nne itakuwaje? Hawa ni wajalaana wanaoishi ulaya kwa kutegemea fedha za kupewa za kusaidiwa na serikali wengi huita welfare.