Nimecheka sana baada ya kuangalia iyo video hasa jamaa wa passport hadi anatukana. Mbele ni kuzuri sana ukiwa kwenye system una proper papers na credit yako ni nzuri. Ukiwa navyo hivyo vyote shida labda ujitakie tu. Tofauti na hapo bora ubaki bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana baada ya kuangalia iyo video hasa jamaa wa passport hadi anatukana. Mbele ni kuzuri sana ukiwa kwenye system una proper papers na credit yako ni nzuri. Ukiwa navyo hivyo vyote shida labda ujitakie tu. Tofauti na hapo bora ubaki bongo.
Japo hizi swagger sio zangu kabisa
Hata humu ni ulimbukenHuu uzi Umenichekesha sana. Kuna jamaa tuko naye huku anaposti Facebook addidas halafu anaandika bei yake hii ni mshahara wa mtumishi. Ulimbukeni tu bora hizi mbwembwe ufanye humu jamvini na fake ID.
Wangari Maathai
Ndio ulimbukeni unajifurahisha tu hakuna anayekujua. Sasa kujiaibisha hivi waziwazi.Hata humu ni ulimbuken
Hahaha nimecheka sana tu!
Hahaa anasema wanaishi..mwendo wa matekaNdio ulimbukeni unajifurahisha tu hakuna anayekujua. Sasa kujiaibisha hivi waziwazi.
Kitambo sana miaka ya 90 kuna baharia mmoja (jina kapuni)alirudi bongo basi pale kitaani alikuwa anajifanya bab k,sasa sisi ndiyo tulikuwa kama watu wake wapambe hvHahaa anasema wanaishi..mwendo wa mateka
mbona kama Wazanzibari , nimecheka balaa
Nimecheka sana pia. Ulimbuken kupiga video chooni na vipodoz kwenye sinki ulimbuken tu. Ila pia wabongo wanasababisha haya umbea mwingi na maneno yao sumu had masela wanaamua kupiga video za ajabu nakuzituma kukomoa.Kitambo sana miaka ya 90 kuna baharia mmoja (jina kapuni)alirudi bongo basi pale kitaani alikuwa anajifanya bab k,sasa sisi ndiyo tulikuwa kama watu wake wapambe hv
Enz hz dogo janja,sasa kuna siku akatupa camera twende tukapige picha sehemu za uswaz kama kino shamba,mwananyama kisiwani,msisiri kulee ili aone watu wanaishiji
Mjing alikuwa anaweza toka nje na chupi
[emoji23][emoji23][emoji23]ila kama unavyojua maisha tena hko nje alibugi nn sjui akarudi bongo alipigika sana,mpaka sasa kimyaaaa tuli
Ila hii video nmeishia kucheka tu
Ova
Mkuu mzizi mkavu kama una video zingine kama hizi tupiako
"Ulimbukeni" wewe unautafsirije kwa tafsiri yako?Hata humu ni ulimbuken
Upeasant"Ulimbukeni" wewe unautafsirije kwa tafsiri yako?
Ilete kwa Kswahili,mimi nilisoma wakati wakoloni wamesha ondoka.Upeasant
UshambaIlete kwa Kswahili,mimi nilisoma wakati wakoloni wamesha ondoka.
😎