Waambie serikali ya awamu ya tano imeharibu kabisa mradi wa mwendokasi. Waambie huku Tanzania mradi kama mradi uliondoka na JK sasaivi kilichobaki ni uchafu mtupu na takataka tu.
Waambie huku kupanda mwendokasi ni kama kukubali kwenda kazini au shule ukiwa mchafu. Mradi haueleweki, mabasi mengi yako hovyo na mabovu, hayafanyiwi maintanance kwa wakati na muda wowote mnaweza kuambiwa hakuna mabasi.
Kikubwa waambie waje siku Tanzania waone jinsi serikali ya awamu ya Tano ilivyoharibu hii mradi. Zaidi waambie kama wanamtaka Magufuli waje wamchukue na ukilaza wao wa CCM kwa sababu sie hatumtaki tenaaa!!