Ndiyo tatizo la wafia chama wa diaspora wanawadanganya CCM Mpya.
Wananchi wa Malampaka Tabora, Nanjilinji Kilwa, Handeni Tanga, Heru Juu Manyovu Kigoma, Mbinga Ruvuma n.k vitu hivyo havina mguso ktk maisha yao ya kila siku ya kupata mlo, mashamba yao, uvuvi, ufugaji (kazi /biashara zao), huduma bora za afya, maji safi salama na elimu ya kutatua changamoto ktk maeneo yao.
Kwa kifupi waTanzania wanataka Maendeleo ya Watu katika maeneo yao.
.........................................................................
Masasi, Mtwara
Tanzania
Changamoto za Viwanda vidogo bila Halmshauri za Wilaya kuwapa mikopo
Hali halisi ya wananchi wa kawaida na changamoto za Viwanda vidogo bila Halmshauri za Wilaya kuwapa mikopo kama ilani ya CCM Mpya inavyosema kusaidia kuinua wananchi, ambapo kuna asilimia 5% imetengwa lakini wahusika wanyonge hawafahamu habari hizo wala CCM Mpya kuwapa taarifa hizo. Pia shirika la Maendeleo la Viwanda Vidogo SIDO halijapewa bajeti ya kutosha kuchochea viwanda vidogo.