Uchaguzi 2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

Kwani Da Mange yeye anasemaje?

Hivi Da Mange yupo kweli? Siku hizi kimya sana.

Ila namwonea huruma maana hatokanyaga ardhi ya Tanzania kwa muda mrefu sana.

Sifa za Instagram zimemponza.
 
Hakuna cha mkongomani hapo....huyo ni msukuma....dereva wa school bus....dadisi vizuri.
Teh teh teh dereva wa school bus Atlanta.. Mama bongo anakalia sofa alizoacha marehemu mzee tangia miaka ya 90 😂😂😂
 
Dar es Salaam, Tanzania
2020 Documentary usafiri wa Mwendokasi DSM

Hali halisi na maoni ya abiria wanaotumia usafiri wa mfumo wa mwendokasi BRT

Ripoti hii inazingatia adha halisi na changamoto za usafiri wa umma unaotumia mabasi ya mradi wa BRT Tanzania jijini Dar es Salaam.
Source : ITV Tanzania

Nafikiri uwepo muda wa kuwapa priority wanafuzi. Masaa mawili/matatu kwa siku hasa wakati shule zinapofungwa na saa 1 na nusu na kabla ya shule kufunguliwa. Vile vile mabasi yawepo mengi, pawe na competition kwa kuwa na mashirika yanayotoa hii huduma.
 
Awaachie walio Bongo wataamua. Rais hachaguliwi kwa ajili ya mabasi ya mwendo kasi... Kama Bongo kumenoga si huyo binti arudi aunge juhudi.
 
Huyu Dada kachanganya mambo anavyosikia wajumbe wamo kazini yeye anadhani kai ya ujumbe ni kujambajamba kama anakofanya yeye hapo jukwaani
 
Nafikiri uwepo muda wa kuwapa priority wanafuzi. Masaa mawili/matatu kwa siku hasa wakati shule zinapofungwa na saa 1 na nusu na kabla ya shule kufunguliwa. Vile vile mabasi yawepo mengi, pawe na competition kwa kuwa na mashirika yanayotoa hii huduma.

Hapo naona umetoa mapendekezo kama mzalendo hasa kwa kutotaka kufunika changamoto zinazoonekana waziwazi na hata wana diaspora waache kudanganya ile tu waalikwe na Polepole ktk mikutano ya CCM Mpya Dodoma kama wawakilishi wa Jumuiya ya CCM ya Diaspora.
 
Waambie waje tujenge nchi yetu kwa manufaa ya wajukuu zao ili nao wafurahie matunda ya babu zao na Tanzania iwe sehemu ya kuvutia na sio kukaa huko kulikojengwa na mababu wa wenzao..

Waambie Ulaya na America zilijengwa na watu na sasa wajukuu wanatakiwa wafaidi bila bughudha waje huku nao walijenge Taifa lao..
 
Wewe ni mla vumbi?
 
Magufuli 2020 💪🏿💪🏿
Sijakataa hiyo Magu 2020, ila kwenye ukweli mseme ukweli na ndiomana JK alipoelezea mpango wa maendeleo wa 1994 ili kufikia uchumi wa kati 2025 alipouelezea tangia ulipoasisiwa (kuanza kusimamiwa) na Mkapa mlinuna wengi na jiwe wenu. Kumbe kila kitu mnataka kumount juu yake kuwa ye ndiye mwanzilishi. Watanzania wa sasa sio wa miaka ya utopolo kama nyinyi mlivyobaki kwenye utopolo.
I though being abroad you could be a man of facts kumbe bure kabisa!
 
Sijakataa hiyo Magu 2020, ila kwenye ukweli mseme ukweli na ndiomana JK alipoelezea mpango wa maendeleo kufikia uchumi wa kati alipouelezea tangia ulipoasisiwa na Mkapa 1994 mlinuna wengi na jiwe wenu. Kumbe kila kitu mnataka kumount juu yake kuwa ye ndiye mwanzilishi. Watanzania wa sasa sio wa miaka ya utopolo kama nyinyi mlivyobaki kwenye utopolo.
I though being abroad you could be a man of facts kumbe bure kabisa!
Mkapa 1994???? We mla vumbi niaje...
 
Back
Top Bottom