hawana lolote hao. mwili mkubwaa akili kidogo, na wakifika miaka kama hamsini hivi ndo wanaanza ugonjwa wa kutetemeka kama mohamed ali, misuli yao inakuwa imelazimishwa kupanuka artificially. kwa kung fu zangu, sihesabugi kama kuna kitu hapo pamoja na kwamba huwa sipigani, ila akinikuta usiku labda anataka kunipora kitu, ataendak usimulia nda rafiki zake wote...
Hata mimi nilishasikia kitu hii. Mtu anaponyanyua kitu kizito inabidi ajitutumue kwa nguvu, akaze misuli hasa ya makalioni kwani kule inabidi abinye presha kwa nguvu zote. Akiendelea kufanya hivo kwa muda mrefu madhara yake ndo hayo ya kuanza kuota hiyo nyama au tuseme utumbo wa makalioni unaanza kutoka.Mkuu Ngabu kuna Dakatari aliniambia kwamba kwa Wanyanyua Vitu vizito wana hatari ya Kutokwa na Nyama ya Anus ( Mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha Nyama ( Nadhani sijui Utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii Dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya Kunyanyua Vitu vizito Daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha
Mkuu ni Graduate wa MUHAS sasa lisemwalo lipo bana ohooo
Hata mimi nilishasikia kitu hii. Mtu anaponyanyua kitu kizito inabidi ajitutumue kwa nguvu, akaze misuli hasa ya makalioni kwani kule inabidi abinye presha kwa nguvu zote. Akiendelea kufanya hivo kwa muda mrefu madhara yake ndo hayo ya kuanza kuota hiyo nyama au tuseme utumbo wa makalioni unaanza kutoka.
Hata mimi nilishasikia kitu hii. Mtu anaponyanyua kitu kizito inabidi ajitutumue kwa nguvu, akaze misuli hasa ya makalioni kwani kule inabidi abinye presha kwa nguvu zote. Akiendelea kufanya hivo kwa muda mrefu madhara yake ndo hayo ya kuanza kuota hiyo nyama au tuseme utumbo wa makalioni unaanza kutoka.
Asante naona wewe umeifafanua vizuri zaidi
heheheheheee...ningependa kujua elimu ya huyo daktari na alipoipatia
ni kweli wanapata madhara ya kutoka nje sehemu ya haja kubwa,huitwa rectal prolapse.lakini hutegemea na maumbile ya mwili wa muhusika ulivyo .hali hiyo huwakuta makuli au watu wanao fanya kazi yenye mahusiano na ubebaji wa vitu vizito.mkuu ngabu kuna dakatari aliniambia kwamba kwa wanyanyua vitu vizito wana hatari ya kutokwa na nyama ya anus ( mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha nyama ( nadhani sijui utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya kunyanyua vitu vizito daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha
ni kweli wanapata madhara ya kutoka nje sehemu ya haja kubwa,huitwa rectal prolapse.lakini hutegemea na maumbile ya mwili wa muhusika ulivyo .hali hiyo huwakuta makuli au watu wanao fanya kazi yenye mahusiano na ubebaji wa vitu vizito.
Nazungumza kiuzoefu na kielimu.nimeshawashauri na kuwatibia wengi wenye tatizo hilo.
Huu ndio ujinga na ukosefu wa akili nisioupenda. Hiyo "rectal prolapse" haisababishwi na kunyanyua vyuma vizito kwa ajili ya mazoezi. Hebu angalia jinsi wikipedia inavyoeleza sababu zake:
"Rectal prolapse is caused by the weakening of the ligaments and muscles that hold the rectum in place. In most people, the anal sphincter is weak. Rectal prolapse is often associated with the following conditions: advanced age, long term constipation, long term straining during defecation, receiving anal sex,[5][6][7] long term diarrhea, high gastrointestinal helminth loads, pregnancy and stresses of childbirth, previous surgery, cystic fibrosis, COPD, and sphincter paralysis."
Hizi imani potofu huwaga zinanikera sana. Halafu unakuta mtu mzima na makende yake anaamini kitu kilicho potofu utadhani msahafu wakati anaweza kujifanyia utafiti wake mwenyewe na kuufahamu ukweli.
Hamuachi kunishangaza!
Mkuu NN Jamaa ametoa experience yake kwamba amewatibu watu wa namna hiyo na amewashauri
Anazungumzia uzoefu na elimu siyo? Kama ni hivyo kwa nini sasa kwenye maelezo ya wiki kuhusu sababu hayasemi chochote kuhusu kunyanyua vitu vizito? Acheni ujinga (ignorance) nyinyi.
Marekani, nchi iliyoendelea kushinda nchi zote duniani ma gym yamejaa kila kona. Madaktari wamejaa kila kona na watu kibao wananyanyua vyuma kwa sababu za kiafya na kamwe hata siku moja sijawahi kusikia hiyo nyama kuwa ni moja ya athari za kunyanyua vitu vizito.
Niwekeeni makala ya jarida lolote la kisayansi au kitabibu linalozungumzia hiyo nyama kama moja ya athari za kunyanyua vyuma. Acheni porojo za mitaani. Leteni data za kisayansi zilizofanyiwa tafiti na kuwa critiqued. Tujadiliane kama watu walioenda shule unless mniambie kuwa hamjaenda.
Mkuu mbona hasiraaaaa! Au wewe ni baunsa ambaye hujavimba mku**. Lucky u!
Hapo kwenye nyeusi (underlined) anazungumzia huo udhaifu wa misuli ya huko chini. Hapo kwenye bluu wikipedia imetumia neno "often" kuonesha kwamba matukio mengi ya kuchoka kwa misuli hiyo yanatokana na sababu hizo alizozitaja, lakini si hizo peke yake. Yaonesha zipo pia nyingine ambazo pengine kwa nadra /mara chache zinasababisha kuchoka kwa misuli hiyo. Sasa sababu hizo nadra ambazo hakuzitaja kwa nini isiwepo pia hiyo ya kunyanyua mizigo mizito? Ujue kwamba mtu anaponyanyua mizigo mizito mara nyingi inabidi ajitutumue (atumie nguvu sana). Kwa njia hiyo misuli inachoka na kulegea, na mwisho huo utumbo unaanza kutoka nje.Huu ndio ujinga na ukosefu wa akili nisioupenda. Hiyo "rectal prolapse" haisababishwi na kunyanyua vyuma vizito kwa ajili ya mazoezi. Hebu angalia jinsi wikipedia inavyoeleza sababu zake:
"Rectal prolapse is caused by the weakening of the ligaments and muscles that hold the rectum in place. In most people, the anal sphincter is weak. Rectal prolapse is often associated with the following conditions: advanced age, long term constipation, long term straining during defecation, receiving anal sex,[5][6][7] long term diarrhea, high gastrointestinal helminth loads, pregnancy and stresses of childbirth, previous surgery, cystic fibrosis, COPD, and sphincter paralysis."
Hizi imani potofu huwaga zinanikera sana. Halafu unakuta mtu mzima na makende yake anaamini kitu kilicho potofu utadhani msahafu wakati anaweza kujifanyia utafiti wake mwenyewe na kuufahamu ukweli.
Hamuachi kunishangaza!
Mkuu Ngabu kuna Dakatari aliniambia kwamba kwa Wanyanyua Vitu vizito wana hatari ya Kutokwa na Nyama ya Anus ( Mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha Nyama ( Nadhani sijui Utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii Dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya Kunyanyua Vitu vizito Daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha
Hapo kwenye nyeusi (underlined) anazungumzia huo udhaifu wa misuli ya huko chini. Hapo kwenye bluu wikipedia imetumia neno "often" kuonesha kwamba matukio mengi ya kuchoka kwa misuli hiyo yanatokana na sababu hizo alizozitaja, lakini si hizo peke yake. Yaonesha zipo pia nyingine ambazo pengine kwa nadra /mara chache zinasababisha kuchoka kwa misuli hiyo. Sasa sababu hizo nadra ambazo hakuzitaja kwa nini isiwepo pia hiyo ya kunyanyua mizigo mizito? Ujue kwamba mtu anaponyanyua mizigo mizito mara nyingi inabidi ajitutumue (atumie nguvu sana). Kwa njia hiyo misuli inachoka na kulegea, na mwisho huo utumbo unaanza kutoka nje.
mkuu hilo tatizo linatokana na namna mbovu ya wanaonyanyua vitu vizito wanafanya... hasa kwenye squats! ukipata instructor mzuri hilo huwa si tatizo... hernia pia ni hatari kama hatufuati taratibu
imbalanced body [sideways], back problems, torn muscles, etc ni risk kama hufanyi mazoezi bila maelekezo
Rectal sphincter muscles hazina uhusiano wowote wa moja kwa moja au usio wa moja kwa kama ilivyo kwenye bench press na triceps na pectoral muscles. Hakuna compound exercise yoyote ile itakayosababisha stress kwenye misuli yako ya sphincter huko nyuma.
Nimewaombeni mnipe makala yoyote ile ya kitabibu au kisayansi inayoelezea hayo mnayoyang'ang'ania lakini hakuna hata mooja wenu aliyethubutu kufanya hivyo. Kila anakuja na nadharia yake potofu aliyoitoa kichwani mwake. Shameful!!!
i think tunachanganya mambo hapa, kuna prolapse, na hernia.. hizi zaweza kutokea kutokana na excessive abdominal pressure ambayo huleta extension ya stress further down the body
vinyama vya huko nyuma sidhani kama alimaanisha zile hemorrhoids, as they are not related
sometimes it is difficult hasa tukitumia lugha ya nyumbani
ya kwanza siwezi sema sana, but ya pili pamoja na m=kwamba inawza kumpata mtu yoyote, lakini kuna risk factors zake!!! its always irrational use ya hayo mavyuma au imbalanced load kwa mwiliKama ni prolapse, hiyo haisababishwi na weight training. Kama ni hernia, hiyo mtu yoyote yule anaweza kupata kwa sababu mbalimbali. Kusema weight training inasababisha kinyama kuota huko nyuma ni fiction.