Wabeba vitu vizito (mabaunsa) DSM

Wabeba vitu vizito (mabaunsa) DSM

hawana lolote hao. mwili mkubwaa akili kidogo, na wakifika miaka kama hamsini hivi ndo wanaanza ugonjwa wa kutetemeka kama mohamed ali, misuli yao inakuwa imelazimishwa kupanuka artificially. kwa kung fu zangu, sihesabugi kama kuna kitu hapo pamoja na kwamba huwa sipigani, ila akinikuta usiku labda anataka kunipora kitu, ataendak usimulia nda rafiki zake wote...

Uongo mwingine huu.
 
Mkuu Ngabu kuna Dakatari aliniambia kwamba kwa Wanyanyua Vitu vizito wana hatari ya Kutokwa na Nyama ya Anus ( Mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha Nyama ( Nadhani sijui Utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii Dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya Kunyanyua Vitu vizito Daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha
Hata mimi nilishasikia kitu hii. Mtu anaponyanyua kitu kizito inabidi ajitutumue kwa nguvu, akaze misuli hasa ya makalioni kwani kule inabidi abinye presha kwa nguvu zote. Akiendelea kufanya hivo kwa muda mrefu madhara yake ndo hayo ya kuanza kuota hiyo nyama au tuseme utumbo wa makalioni unaanza kutoka.
 
Asante naona wewe umeifafanua vizuri zaidi
 
source yako ni ipi?.....scientific proof plz e.g article

Asante naona wewe umeifafanua vizuri zaidi

Kasikia/ hearsay na sio kafafanua. Kaeleza alichodanganywa na unprofessional individuals
 
heheheheheee...ningependa kujua elimu ya huyo daktari na alipoipatia
mkuu ngabu kuna dakatari aliniambia kwamba kwa wanyanyua vitu vizito wana hatari ya kutokwa na nyama ya anus ( mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha nyama ( nadhani sijui utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya kunyanyua vitu vizito daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha
ni kweli wanapata madhara ya kutoka nje sehemu ya haja kubwa,huitwa rectal prolapse.lakini hutegemea na maumbile ya mwili wa muhusika ulivyo .hali hiyo huwakuta makuli au watu wanao fanya kazi yenye mahusiano na ubebaji wa vitu vizito.
Nazungumza kiuzoefu na kielimu.nimeshawashauri na kuwatibia wengi wenye tatizo hilo.
 
Huu ndio ujinga na ukosefu wa akili nisioupenda. Hiyo "rectal prolapse" haisababishwi na kunyanyua vyuma vizito kwa ajili ya mazoezi. Hebu angalia jinsi wikipedia inavyoeleza sababu zake:

"Rectal prolapse is caused by the weakening of the ligaments and muscles that hold the rectum in place. In most people, the anal sphincter is weak. Rectal prolapse is often associated with the following conditions: advanced age, long term constipation, long term straining during defecation, receiving anal sex,[5][6][7] long term diarrhea, high gastrointestinal helminth loads, pregnancy and stresses of childbirth, previous surgery, cystic fibrosis, COPD, and sphincter paralysis."

Hizi imani potofu huwaga zinanikera sana. Halafu unakuta mtu mzima na makende yake anaamini kitu kilicho potofu utadhani msahafu wakati anaweza kujifanyia utafiti wake mwenyewe na kuufahamu ukweli.

Hamuachi kunishangaza!
 
Mkuu NN Jamaa ametoa experience yake kwamba amewatibu watu wa namna hiyo na amewashauri
 
Anazungumzia uzoefu na elimu siyo? Kama ni hivyo kwa nini sasa kwenye maelezo ya wiki kuhusu sababu hayasemi chochote kuhusu kunyanyua vitu vizito? Acheni ujinga (ignorance) nyinyi.

Marekani, nchi iliyoendelea kushinda nchi zote duniani ma gym yamejaa kila kona. Madaktari wamejaa kila kona na watu kibao wananyanyua vyuma kwa sababu za kiafya na kamwe hata siku moja sijawahi kusikia hiyo nyama kuwa ni moja ya athari za kunyanyua vitu vizito.

Niwekeeni makala ya jarida lolote la kisayansi au kitabibu linalozungumzia hiyo nyama kama moja ya athari za kunyanyua vyuma. Acheni porojo za mitaani. Leteni data za kisayansi zilizofanyiwa tafiti na kuwa critiqued. Tujadiliane kama watu walioenda shule unless mniambie kuwa hamjaenda.
 
Mkuu mbona hasiraaaaa! Au wewe ni baunsa ambaye hujavimba mku**. Lucky u!
 
Baunsa ndio nini?

Halafu hakuna hasira wala nini. Tatizo watu ni wagumu kuelewa utadhani hawana ubongo. Uzushi wanauchukulia kuwa kitu cha kweli. Umeshawahi kujiuliza moja ya sababu ya sisi kuwa nyuma kimaendeleo ni nini? Well, look no further................
 
Huu ndio ujinga na ukosefu wa akili nisioupenda. Hiyo "rectal prolapse" haisababishwi na kunyanyua vyuma vizito kwa ajili ya mazoezi. Hebu angalia jinsi wikipedia inavyoeleza sababu zake:

"Rectal prolapse is caused by the weakening of the ligaments and muscles that hold the rectum in place. In most people, the anal sphincter is weak. Rectal prolapse is often associated with the following conditions: advanced age, long term constipation, long term straining during defecation, receiving anal sex,[5][6][7] long term diarrhea, high gastrointestinal helminth loads, pregnancy and stresses of childbirth, previous surgery, cystic fibrosis, COPD, and sphincter paralysis."

Hizi imani potofu huwaga zinanikera sana. Halafu unakuta mtu mzima na makende yake anaamini kitu kilicho potofu utadhani msahafu wakati anaweza kujifanyia utafiti wake mwenyewe na kuufahamu ukweli.

Hamuachi kunishangaza!
Hapo kwenye nyeusi (underlined) anazungumzia huo udhaifu wa misuli ya huko chini. Hapo kwenye bluu wikipedia imetumia neno "often" kuonesha kwamba matukio mengi ya kuchoka kwa misuli hiyo yanatokana na sababu hizo alizozitaja, lakini si hizo peke yake. Yaonesha zipo pia nyingine ambazo pengine kwa nadra /mara chache zinasababisha kuchoka kwa misuli hiyo. Sasa sababu hizo nadra ambazo hakuzitaja kwa nini isiwepo pia hiyo ya kunyanyua mizigo mizito? Ujue kwamba mtu anaponyanyua mizigo mizito mara nyingi inabidi ajitutumue (atumie nguvu sana). Kwa njia hiyo misuli inachoka na kulegea, na mwisho huo utumbo unaanza kutoka nje.
 
Mkuu Ngabu kuna Dakatari aliniambia kwamba kwa Wanyanyua Vitu vizito wana hatari ya Kutokwa na Nyama ya Anus ( Mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha Nyama ( Nadhani sijui Utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii Dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya Kunyanyua Vitu vizito Daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha

mkuu hilo tatizo linatokana na namna mbovu ya wanaonyanyua vitu vizito wanafanya... hasa kwenye squats! ukipata instructor mzuri hilo huwa si tatizo... hernia pia ni hatari kama hatufuati taratibu

imbalanced body [sideways], back problems, torn muscles, etc ni risk kama hufanyi mazoezi bila maelekezo
 
Hapo kwenye nyeusi (underlined) anazungumzia huo udhaifu wa misuli ya huko chini. Hapo kwenye bluu wikipedia imetumia neno "often" kuonesha kwamba matukio mengi ya kuchoka kwa misuli hiyo yanatokana na sababu hizo alizozitaja, lakini si hizo peke yake. Yaonesha zipo pia nyingine ambazo pengine kwa nadra /mara chache zinasababisha kuchoka kwa misuli hiyo. Sasa sababu hizo nadra ambazo hakuzitaja kwa nini isiwepo pia hiyo ya kunyanyua mizigo mizito? Ujue kwamba mtu anaponyanyua mizigo mizito mara nyingi inabidi ajitutumue (atumie nguvu sana). Kwa njia hiyo misuli inachoka na kulegea, na mwisho huo utumbo unaanza kutoka nje.

Wewe ndio kabisa hata huelewi mechanics za mwili. Kwanza nashauri ujifunze ABCs za human anatomy na jinsi skeletal muscles zinavyofanya kazi. Uhusiano baina ya sphincter muscles za rectum na quadriceps, biceps, trapezius, latisimus dorsi, pectoralis, n.k. sijui hata uko wapi. Hebu nifahamishe kwa mfano mtu unapopiga standing bicep curls au alternate dumbell curls matumizi ya rectal sphincter muscles ni yepi?

Na pia naomba uniletee mifano ya watu walioathirika na condition hiyo kutokana na kunyanya vyuma. Niwekee hapa hiyo mifano na unikate ngebe once and for all.
 
mkuu hilo tatizo linatokana na namna mbovu ya wanaonyanyua vitu vizito wanafanya... hasa kwenye squats! ukipata instructor mzuri hilo huwa si tatizo... hernia pia ni hatari kama hatufuati taratibu

imbalanced body [sideways], back problems, torn muscles, etc ni risk kama hufanyi mazoezi bila maelekezo

Rectal sphincter muscles hazina uhusiano wowote wa moja kwa moja au usio wa moja kwa kama ilivyo kwenye bench press na triceps na pectoral muscles. Hakuna compound exercise yoyote ile itakayosababisha stress kwenye misuli yako ya sphincter huko nyuma.

Nimewaombeni mnipe makala yoyote ile ya kitabibu au kisayansi inayoelezea hayo mnayoyang'ang'ania lakini hakuna hata mooja wenu aliyethubutu kufanya hivyo. Kila mtu anakuja na nadharia yake potofu aliyoitoa kichwani mwake. Shameful!!!
 
Rectal sphincter muscles hazina uhusiano wowote wa moja kwa moja au usio wa moja kwa kama ilivyo kwenye bench press na triceps na pectoral muscles. Hakuna compound exercise yoyote ile itakayosababisha stress kwenye misuli yako ya sphincter huko nyuma.

Nimewaombeni mnipe makala yoyote ile ya kitabibu au kisayansi inayoelezea hayo mnayoyang'ang'ania lakini hakuna hata mooja wenu aliyethubutu kufanya hivyo. Kila anakuja na nadharia yake potofu aliyoitoa kichwani mwake. Shameful!!!

i think tunachanganya mambo hapa, kuna prolapse, na hernia.. hizi zaweza kutokea kutokana na excessive abdominal pressure ambayo huleta extension ya stress further down the body

vinyama vya huko nyuma sidhani kama alimaanisha zile hemorrhoids, as they are not related

tulia uelewe hasa kama lugha gongana.... rudia zuckerman yako au basic guyton kuunganisha sera

sometimes it is difficult hasa tukitumia lugha ya nyumbani
 
i think tunachanganya mambo hapa, kuna prolapse, na hernia.. hizi zaweza kutokea kutokana na excessive abdominal pressure ambayo huleta extension ya stress further down the body

vinyama vya huko nyuma sidhani kama alimaanisha zile hemorrhoids, as they are not related

sometimes it is difficult hasa tukitumia lugha ya nyumbani

Kama ni prolapse, hiyo haisababishwi na weight training. Kama ni hernia, hiyo mtu yoyote yule anaweza kupata kwa sababu mbalimbali. Kusema weight training inasababisha kinyama kuota huko nyuma ni fiction.
 
Rectal Prolapse Overview

The term rectum refers to the lowest 12-15 centimeters of the large intestine. The rectum is located just above the anal canal. Normally, the rectum is securely attached to the pelvis with the help of ligaments and muscles. This attachment firmly holds the rectum in place. Various factors, such as age, long-term constipation, and the stress of childbirth, may cause these ligaments and muscles to weaken, which means that the rectum's attachment to the body also weakens. This causes the rectum to prolapse, meaning it slips or falls out of place. Occasionally, large hemorrhoids (large, swollen veins inside the rectum) may predispose the rectum to prolapse.

Rectal prolapse is similar to, but not the same as, rectocele, which is a common condition in women. A rectocele is a prolapsed rectum that can result when the backside (or posterior) wall of the vagina prolapses.
In the early stages of rectal prolapse, the rectum becomes poorly attached but stays within the body most of the time. This stage of rectal prolapse is called mucosal prolapse, or partial prolapse, meaning that only the inner lining of the rectum (rectal mucosa) protrudes from the anus. This occurs when the connective tissues within the rectal mucosa loosen and stretch, allowing the tissue to protrude through the anus. When long-term hemorrhoidal disease is the cause, the condition usually does not progress to complete prolapse. Determining if the problem is hemorrhoids or rectal prolapse is important. Hemorrhoids occur commonly, but they rarely cause rectal prolapse.
As the rectum becomes more prolapsed, the ligaments and muscles may weaken to the point that a large portion of the rectum protrudes from the body through the anus. This stage is called complete prolapse, or full-thickness rectal prolapse, and is the most commonly recognized stage of the condition. Initially, the rectum may protrude and retract depending on the person's movements and activities. However, if the disease goes untreated, the rectum may protrude more frequently or even permanently.
Another condition commonly considered a form of prolapsed rectum is called internal intussusception. Its effects on the rectum are similar to those of mucosal prolapse or complete rectal prolapse; however, in internal intussusception, the rectum neither protrudes from the body nor enters the anal canal.
Rectal prolapse is an uncommon disease and primarily affects elderly people. The disease is rare among children. Affected children are usually younger than 3 years. Men develop rectal prolapse much less frequently than women do (80-90%). In the United States, 0.42% of the overall population have rectal prolapse. In people older than 65 years, the prevalence is 1%.
 
Rectal Prolapse Causes

  • Rectal prolapse is caused by weakening of the ligaments and muscles that hold the rectum in place. In most people with a prolapsed rectum, the anal sphincter muscle is weak. The exact cause of this weakening is unknown; however, rectal prolapse is usually associated with the following conditions:
  • Long-term hemorrhoidal disease is frequently associated with mucosal prolapse that does not progress to complete rectal prolapse
Wapi inaposema rectal prolapse inasababishwa na weight training?

Source: emedicinehealth.com
 
Kama ni prolapse, hiyo haisababishwi na weight training. Kama ni hernia, hiyo mtu yoyote yule anaweza kupata kwa sababu mbalimbali. Kusema weight training inasababisha kinyama kuota huko nyuma ni fiction.
ya kwanza siwezi sema sana, but ya pili pamoja na m=kwamba inawza kumpata mtu yoyote, lakini kuna risk factors zake!!! its always irrational use ya hayo mavyuma au imbalanced load kwa mwili
 
Back
Top Bottom